Urgently namuitaji huyu mtu tufanyenae kazi

steve111

Member
Joined
May 29, 2015
Posts
91
Reaction score
58
Habari ya Kazi Wakuu.

Naitwa X ninaishi Kilimanjaro, Nilikuwa nataka Mtu ambaye anaweza Kuandika Vizuri Business Plan ya Biashara ya Mchele Kuanzaia Kununua kwa Wakulima mpaka kuuza kwa Package kwa Wanunuzi zikiwemo Gharama Mpaka Faida.

Mzungu anaitaji aweke Capital tafadhari kwa Mtu ambaye anauzoefu Tufanye kazi. Napatikana Kwa Namba Hii 0758975807 .Asanten Wakuu
 
Daaaaaa...., Dili hili
Ukiambiwa wajuzi hawatapita haraka kuona huu uzi wapo MMU huko kula tunda kimasiharaa..
Ningekua na Uelewa, tayari asaivi ningekua Kilimanjaro.
 
Hahaaa, Ngoja Wajiachie...
Mimi kule hata kwa bahati mbaya sipiti, labda niwe redirected.
em tuchati hapa huu uzi uzizamie wakija wauwone kirahisi watatushukuru kwa uzembe wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
em tuchati hapa huu uzi uzizamie wakija wauwone kirahisi watatushukuru kwa uzembe wao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😝😝😝😝mkuu kama huna bahati huna tuuu...
Hata huu umwekee kwenye wallpaper/screensaver hatausoma...

Inatokea tuu mtu anakua na nyota ya njaaa,
Huwezi kumlaumu sana.
 
😝😝😝😝mkuu kama huna bahati huna tuuu...
Hata huu umwekee kwenye wallpaper hatausoma...

Inatokea tuj mtu anakua na nyota ya njaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜ nyota ya njaa.!
 
Nina uzoefu nayo sana, ila hiyo business plan, kuandaa ndio ngumu, japo naweza kutoa msaada mkubwa sana, kuanzia ununuaji huko kwa mkulima,una weza ni pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…