Habari za jumapili wapendwa,naomba kuuliza nini dawa nzuri ya UTI,mana nilipima hosp na wakaniambia ni UTI wakanipa anti biotics,Cplo na dox,sasa tatizo limerudi tena,je kuna dawa mbadala?hata kama ni ya kienyeji jamani mana hali yangu si nzuri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hivi inaambukiza kwa kujamiiana pia (ni mojawapo ya STDs)?tatizo unajitibu mwenyewe ndo tatizo
mtibu na huyo mumeo
Habari za jumapili wapendwa,naomba kuuliza nini dawa nzuri ya UTI,mana nilipima hosp na wakaniambia ni UTI wakanipa anti biotics,Cplo na dox,sasa tatizo limerudi tena,je kuna dawa mbadala?hata kama ni ya kienyeji jamani mana hali yangu si nzuri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
​Mwambie aende Hospitali wao watajua namna ya kumsaidia