nakushukuru kwa ushauri wako ila naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote yanayo sababishwa na U.T.I
mi ni daktari umenichekesha sana inaonekana we ni mjuaji ndo maana hupati msaada mzuri wa matibabu.Kwanza kabisa nieleze U.T.I ni nini?kwa wale wasio faham U.T.I ni mchafuko wa mkojo
pili nielezee historia ya tatizo langu kwa kifupi tatizo langu limenianza toka 2012 mwezi wa nne sababu kubwa iliyo nipelekea kupata huu ugonjwa nimatumizi ya vyoo vya umma hapa nazungumzia vile vyoo vya kukojolea hasahasa vyo hivyo vinapatikana stendi mahotelini ambavyo vimedizainiwa kwa ajili ya WANAUME TU.
Juhudi nilizo zifanya nipamoja na kwenda hospitali kama mara kadhaa hivi ambapo mara ya kwanza niliandikiwa cipro,mara ya pili nilipewa dox mara ya tatu nilipewa amoxlin,flagly na panado na la nyongeza nimesha tumia hadi mitishamba lakin hali bado sionzur na mwez wakumi mwaka huu nimeenda hospitali nimechomwa pawasef moja nikapewa flagly na dox lakini bado umekuwa ukipona kidogo na kujirudia rudia
hata hivyo kwenye familia yetu hakuna mwanye ugonjwa kama huu
mpaka sasa nipo njia panda wadau naombeni mnisaidie cha kufanya.
mkuu mskikiliz jamaa tafuta tiba madhara yake wala ayafai kuongeelea humu adi watoto wanasoma .....usiwaze bado sana ikichukua 3-4yrs kidogo kuna tatizoMkuu madhara ya hii kitu ni makubwa kama ikiendelea kwa muda mrefu. Fanya juu chini upate tiba ya kukuponya na hili liwe na kipaumbele kikubwa toka kwako. Kila la heri.
pole sana mkuu fwta ushauri wa mamndenyi kunywa sana maji kama mwehu
usiogope 2012 -2013 ,kuna tuliosoma pugu tukaumwa fungus 199-2002 yaani nimeingia chuo na fungus namaliza degree nayo inamalizaa kuhakiki mwilini ikaondoka ..so mwaka mmoja usikusumbua tafuta ma dk wazuri wakusaidie na Mungu mtangulize kwanza kwa hili
choma moto chupi zako zote , ununue mpya. Kila siku vaa chupi tofauti na kufua, usirudie kuvaa siku ya pili. Zisuuze na dettol.
Nunua chupi za cotton (pamba) siyo za kitambaa cha mpira.
Inaelekea hufui chupi mara kwa mara, badili tabia, kuwa msafi.
naomba nisaidiwe dalili za UTI ambazo ni common,kama ishu ni vyoo nami natumia sana na sijawahi kuumwa ,hofu yangu isijekuwa ninao sijijui
mkuu moony
ndio maana ameletwa jukwaa la wastaarabu angepeleka kule kwa wahuni ningetajaribu maneno hapo juu
umeanza vizuri lakini umemaliza na usumbufu wa ufahamu.....kivipi..unaweza kuwa msafi ukipita choo kina hilo jidudu hata iweje utalikwaa ...alina tofauti na kale kadubwasha chetu utatumia mpira ikipasuka siku mnarudi uwanjani upya..na hilo ndilo la kusisitiza afue na dettol..umeanza vizuri kumaliza na gundu anyway
jitahidi
mtie moyo yoyote anaekuja kuomba msaadaa humu jamvini...mi nina mtu kanilipia nusu ya ada kutokana na mawazo ya mada za mapenzi simaanishi styles bali makabaliano ya nguvu za ndoa vs nguvu za binadamu ndani ya ndoa zosi days ujazaliwa ahumu ndani..so ujui nani atakusaidia baaddae hata kama si msaada hata kushukuru u will blsd much
kamata upako wangu uushikilie
Kwanza niseme mleta maada ambaye amejipambanua kama mgonjwa ana kitu kisaikolojia tunaita self-consciousness(kujishitukia),coz anajua hadi maana ya ugonjwa husika but ameshindwa kujizuia kupata tena au kupata tiba,kifupi kwa miaka ya hivi karibuni watu wengi sana wamekua na tabia ya kusingizia U.T.I yale magonjwa mengi yanayohusiana na sexual transmitted,ikiwemo gonorea,coz its obvious leo hii ukitaja una ugonjwa wa zinaa ni aibu,tofauti na magonjwa kama U.T.I yana tamkika kirahisi mbele ya jamii,coz watu huamini ni mchafuko wa mkojo,kumbe sometimes unaweza ukawa umevagaa gonjwa la zinaa then unajitibu kisaikolojia kuwani U.T.I,now natoa mchango wangu:Kama walivyoeleza wadau wengine kua ni mchafuko wa mkojo,kwa wanaume sio mara nyingi kuupata lakini tatizo lipo sana kwa wanawake,chooni ni sehemu ambako bakteria hawa wanaweza kupatikana,lakini sio lazima choo ndio iwe source ya mtu kupata hayo maambukizi huko,coz sometimes hata kujaamiana kunaweza kusababisha hatari ya kuwapata bakteria hao toka kwa mtu ambae anao,na mara nyingi wanapatikana kwenye njia ya haja kubwa, so risk kubwa sometimes kwa wale mnaopenda kufanya kinyume na maumbile,cha msingi ni kuimarisha usafi wa choo,ukiwa haja kubwa wakati wa kujisafisha(kutawaza),jisafishe ukitokea mbele kwenda nyuma na sio nyuma kwenda mbele coz bakteria hao wanapatikana sehemu ya haja kubwa sana,na kuepuka ngono zembe,kumbuka wadudu hao wakiwa sugu sana huenea mpaka kwenye figo,so figo inaweza kupata madhara,dalili zake ni kupata haja ndogo mara kwa mara lakini kiasi cha mkojo kinakua kidogo sana,coz wale wadudu wanaathiri sensor za mkojo kwenye kibofu so sensor zinaasume kibofu kimejaa ndio maana mara kwa mara mtu hujisikia kwenda kukojoa,sometimes mkojo huambatana na maumivu ya kuchoma n.k
Mbona hii so na coz imekuwa kama ndio trade mark ya wasomi wa kitanzania?
shukrani mkuu Horseshoe pamoja sana