Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Kumbe MziziMkavu ni mwanamke???? unaposema "wanawake wengi tumekuwa tunaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi .." ama ume copy na ku paste tu??!!
Mimi niwe Mwanamke je nitaweka picha ya kiume ili iwe nini? nime kopi sehemu hii sio ya kwangu ninawakumbusha akina dada unasemaje unataka niwe mwanamke upate kunitongoza sema basi?
 
Sifanyi masiara Utafiti!
Mwanzo niliamini MziziMkavu ni me, hii sired ya leo imenipa mshangao!
...
Anyway! Kwa mujibu wa post yako na iyo apo juu, nimeamini Doctor ni Me!
Mimi sio Mwanamke wala Mwanamme mimi ni Malaika nileye jigeuza binadamu munasemaje?nimetumwa na Mungu kuja kuwasaidia Binadamu matatizo yao unasemaje? Kwanini hushangai Mwenyeezi Mungu anaposema sisi katika vitabu vyake vitakatifu je Mungu akitumia neno Sisi utamuweka katika fungu gani? Mungu wapo wengi au Mungu huyo huyo ni Mmoja? Kama alivyo sema Bwana YESU kumuomba Mungu Bwana YESU anatumia neno Baba kumuomba Mungu Je Mungu ni Mwanamme? au Mwanamke? ninaomba jibu lenu hapo?
 
Mi mwenyewe nashangaa.dr we ni ke au me?
Wewe kwanza ninataka kujuwa ni Mwanamke au Mwanamme? na Hii Thread imewahusu wanawake je wewe umekuja kufuata kitu gani huku ? umekuja kuchangia kitu gani kwa wanawake? Ninakuomba jibu toka kwako mbona munakuja kuharibu thread ambazo haziwahusu Someni kichwa cha habari hapo juu kinawahusu akina nani? Hii Thread?
 
Wanapenda sana kavukavu na michepuko au nimekosea maDR
Umekusudia kitu gani? Akina mama wanapenda kavukavu? kwa tendo la ndoa au ngono sisi Wanaume ndio tunao waharibu akina Mama. Kufanya nao tendo la sex unatakiwa wewe Mwanamme umchezee Mwanamke mpaka atoke umaji maji sehemu zake za siri au wakati mwengine akwambie yeye mwenyewe sasa unaweza kuingiza lakini wewe ukisha ona papuchi ya bibie unataka kuingiza pasipo na kumchezea papuchi yake atakosa kuchubuka? muandae mpenzi wako mpaka awe teyari ndio wewe unaingiza hilo dushelele lako.
 
Kumbe MziziMkavu ni mwanamke???? unaposema "wanawake wengi tumekuwa tunaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi .." ama ume copy na ku paste tu??!!

Hongera sana Mkuu kwa kuweka somo zuri!
Underline pamenishangaza kidogo! Siku zote hizo natambua MziziMkavu ni mwanaume!

Mzizimkavu

Haeleweki. Alipoeleza matumizi a asali mbichi kutumika kuongeza nguvu za kiume ukitumia kila siku mara mbili asubuhi kabla ya kula chochote na kabla kulala kijiko kimoja kwa muda wa siku 40 alisema ametumia yeye mwenyewe. Sasa kama na hii ya leo ni kweli ina maana ni Shemale

Muombe radhi tafadhali
Mkuu waache kama walivyo wamekuja kutaka kuharibu Thread ambayo haiwahusu waache Shetani anataka kuwapoteza huwezi kuwaongoza watu waliopotea na njia Mungu peke yake ndie atakaye waongoza waombee dua usiwakasirikie.

Hata mimi nililiona bandiko lake lile!
Ngoja akuje anaweza kuondosha huu utata!

Duh! Basi akitumia maelezo ya watu a-acknowledge ati!

Khaa! Utafiti vipi? Tuseme wewe haukuona maelezo yake yalioashiria yeye ni ke?
...
Tumuombe radhi tumemkosea nini?

Mi mwenyewe nashangaa.dr we ni ke au me?

Sifanyi masiara Utafiti!
Mwanzo niliamini MziziMkavu ni me, hii sired ya leo imenipa mshangao!
...
Anyway! Kwa mujibu wa post yako na iyo apo juu, nimeamini Doctor ni Me!

[h=4]Basic Information[/h]
[h=5]About MziziMkavu[/h]BiographyMim ni Mwanamme ni MTanzania Mzaliwa wa Dares-Salaam, Niliyesoma Dar,na kumaliza mwaka 1980, sasa nipo nje Kikazi ni hivyo tu.LocationEuropean UnionInterestsWatch TV,player Computer and Read bookOccupationSeamanGenderMale
 
Mimi sio Mwanamke wala Mwanamme mimi ni Malaika nileye jigeuza binadamu munasemaje?nimetumwa na Mungu kuja kuwasaidia Binadamu matatizo yao unasemaje? Kwanini hushangai Mwenyeezi Mungu anaposema sisi katika vitabu vyake vitakatifu je Mungu akitumia neno Sisi utamuweka katika fungu gani? Mungu wapo wengi au Mungu huyo huyo ni Mmoja? Kama alivyo sema Bwana YESU kumuomba Mungu Bwana YESU anatumia neno Baba kumuomba Mungu Je Mungu ni Mwanamme? au Mwanamke? ninaomba jibu lenu hapo?

Wewe Mungu? Shiriki hiyo mie simo.
 
Dr. kuna ukwel kwamba papuchi kubwa ndio more vanurable kwa u.t.i?
Papuchi iwe kubwa au iwe ndogo au iwe papuchi ya mnato inategeme wewe Mwanamme ni jinsi gani unavyoweza kuishughulikia ipasavyo tunaficha maneno watoto bado hawajalala saa hizi ndio hivyo mkuu fakenology
 
Last edited by a moderator:
Wewe kwanza ninataka kujuwa ni Mwanamke au Mwanamme? na Hii Thread imewahusu wanawake je wewe umekuja kufuata kitu gani huku ? umekuja kuchangia kitu gani kwa wanawake? Ninakuomba jibu toka kwako mbona munakuja kuharibu thread ambazo haziwahusu Someni kichwa cha habari hapo juu kinawahusu akina nani? Hii Thread?

Leo #mzizimkavu wape makavu laivu hao vichwa ngumu
 
  • dalili za ugonjwa wa uti kwa wanaume‏
uti_240.jpg

uti ni nini ?

maambukizi katika sehemu yeyote ya njia ya mkojo husababisha maradhi na matatizo ya aina mbalimbali. Mara nyingi tunapozungumzia uti, huwa tunalenga maambukizi yanayosababishwa na vimelea
(bakteria) au chochote kile kinachoweza kusababisha uti huingia katika njia ya mkojo kutokea aidha nje ya mwili au hata ndani ya mwili kwa njia ya damu au vinginevyo.

uti huweza kumpata mtu yeyote bila kujali jinsia au umri. Hata hivyo, yapo makundi ambayo kutokana na sababu za kibiologia na kinga ya mwili kushuka au kuwa ndogo huathiriwa zaidi na tatizo hilo. Makundi hayo ni pamoja na watoto, wazee na wanawake.

watoto ni waathirika wakubwa wa uti na yaweza kusababisha maambukizi kusambaa hadi kwenye damu na mwiili mzima na hatimaye kusababisha kifo. Maumbile ya watoto na utegemezi walio nao wakati wa kujisaidia inaweza kuwa ni sababu hatarishi kwa wao kupata

tatizo hili. Vile vile kinga yao ya mwili bado huwa bado haijakomaa kuweza kuhilili uvamizi wa vijidudu mbalimbali kwenye miili yao.

wanawake kwa upande wao huathiriwa na uti hasa kutokana na mfumo mzima wa maungo yao hasa ya mfumo wa mkojo kuwa na urahisi wa kuingiliwa na bacteria. Mathalani, mrija wa mkojo yaani urethra ya mwanamke ni fupi sana ukiliganisha na ya mwanaume na hivyo vijidudu au bakteria kupata urahisi wa kuingia ndani.
ukubwa wa tatizo

uti ni tatizo kubwa katika jamii na jinsia. Hata hivyo hakuna data au taarifa kamili juu ya ukubwa wa tatizo hili katika maeneno mengi duniani hasa katika nchi zinazoendelea zilizo na miundombinu duni na changa ya afya. Utunzaji wa kumbukumbu ni tatizo linachongia pia ukosekanaji wa taarifa.

kwa kiasi kikubwa tatizo la uti huathiri wanawake zaidi kuliko wanaume, zaidi ya mara mbili kwa kukadiria. Karibu kila mwanamke katika maisha yake anaweza wa kupata uti japo mara. Pia uwezekano upo kwa tatizo kujirudia mara kwa mara.

sababu za uti

uti yaweza kusababishwa na vijidudu vya namna nyingi. Mathalani ni vimelea (bakteria) japo pia na jamii nyingine ya vijidudu vinaweza kusababisha uti. Bakteria aina ya escherichia coli kwa kiasi kikubwa ndio inayosababisha uti japo pia bakteria wengine wapo. Vijidudu hivi vyaweza kuingia katika njia ya mkojo kutokea nje ya mwili au hata kwa kupitia damu ya mhusika.

kwa wanawake, fangasi katika sehemu za siri imekuwa ni tatizo kubwa sana. Uwepo wa fangasi hasa kwenye uke na maeneo jirani pia huweka mazingira ya mvuto kwa bakteria kuvamia maeneo hayo na kuleta maradhi, hasa uti.

kwa wanaume mara nyingi kutokana na maumbile yao na mfumo mzima wa mkojo na viungo vyake, huwa siyo waathirika wakubwa wa uti.

vihatarishi

sababu hatarishi
(risk factors) za uti zipo nyingi, kulingana na umri, jinsia na mazingira ya mhusika. Mfano sababu hatarishi za mtoto mchanga kupata uti si sawa na mtu mzima jinsia ya kike. Maumbile na mfumo wa kibiologia ya mwanamke humweka katika nafasi hatarishi zaidi ya kupata uti. Vile vile ngono, tena ya mara kwa mara ni moja ya sababu zinazoweza kuchangia mtu kupata uti.

kwa kupitia ngono, bakteria waliopo katika sehemu za siri za mhusika vinaweza kupata nafasi ya kupenya na kuingia katika mfumo wa njia ya mkojo kwa urahisi zaidi.

sababu nyingine ni upungufu wa kinga mwilini kwa sababu yeyote, ikiwamo ujauzito kwa wanawake na ugonjwa wa kisukari (diabetes). Lakini pia, sababu nyingine kadha wa kadha zinazosababisha upungufu wa kinga mwilini.

dalili za uti je?

dalili za uti kwa kiasi kikubwa hutokana na umri na jinisia ya mhusika, lakini zaidi kisababishi
(cause) ya uti. Dalili zinaweza kuwa kusikia maumivu wakati wa kukojoa, homa na maumivu katika viungo vya mkojo, kuhisi kuhitaji kukojoa mara kwa mara na pia mkojo kuwa na hali ya kuunguza wakati wa kukojoa.

nyingine ni maumivu ya tumbo chini ya kitovu na au mgongo kwa chini. Mkojo wenyewe unaweza onekana wenye damu au usaha.

kwa watoto dalili pekee kubwa ni homa. Hii inaweza kuambatana na kushindwa kula vizuri, kulia lia sana na hata kutapika.
matibabu ya uti

matibabu ya uti kwa kiasi kikubwa unapatikana bila shida na usumbufu mkubwa maadam tatizo lijulikane mapema na kwa usahihi. Utaratibu mzima wa matibabu hutegemea majibu ya maabara, kisababisho cha uti na umri pia wa mhusika

pamoja na hayo, uti ni ugonjwa unaozuilika. Kwa ujumla suala zima la kuzingatia kanuni za afya bora hasa ya mwili na mazingira ni suluhisho tosha kwa tatizo la uti.

unywaji wa maji mengi ili kupata mkojo mwingi ili pengine uweze kusafisha njia ya mkojo nayo pia inashauriwa. Inashauriwa pia kukojoa mara tu baada ya tendo la kujamiiana. Kwa watoto ni muhimu kuzingatia matumizi sahihi ya pampers hasa kubadilisha kwa wakati.

dawa ya maradhi ya uti:

kwa mtu mgonjwa wa maradhi yoyote inatakikana awe anakunywa maji uvuguvugu anapo amka asubuhi

kabla ya kupiga mswaki unywe glasi 2 za maji ya uvuguvugu na baada ya kupiga mswaki unywe glasi 1 na

kabla ya kunywa chai unywe glasi moja ya maji ya uvuguvugu kila siku ufanye hivyo kwa wakati wa

asubuhi.
na wakati wa mchana dakika 15 au dakika 30 kabla ya kula chakula cha mchana unywe maji ya uvuguvugu glasi 1.

na wakati wa chakula cha usiku unatakiwa unywe maji ya uvuguvugu glasi 2 kabla ya kula chakula cha usiku.

na unywe maji ya uvuguvugu glasi 1 kabla ya kwenda kulala usiku. Jumla utakuwa umekunywa glasi 8 kwa siku huu ndio

utaritibu wa kutibu kila maradhi hapo juu uwe unakunywa kila siku mpaka upone hayo maradhi yako na huenda

ikachukuwa muda wa miezi 3 ukifulululiza kunywa hayo maji ya uvuguvugu utakuwa umekwisha pona maradhi yako

unywaji wa maji mengi ili kupata mkojo mwingi ili pengine uweze kusafisha njia ya mkojo nayo pia inashauriwa. Inashauriwa pia kukojoa mara tu baada ya tendo la kujamiiana. Kwa watoto ni muhimu kuzingatia matumizi sahihi ya pampers hasa kubadilisha kwa wakati.

Tiba mbadala ya maradhi ya (uti) pata mafuta ya khardali kunywa kijiko kimoja asubuhi kijiko kimoja mchana na kijiko kimoja usiku kwa muda wa siku 3 au sİku 7 kisha nenda kapime hayo maradhi yako ya (uti) utakuta hakuna tena inshallah.

318px-mustard_oil.jpg

mafuta ya khardali kwa kiingereza yanaitwa mustard oil.

dawa ingine ya kutibu maradhi ya uti ni hi hapa kwa jina inaitwa grape seed extract

pgnc1-2331338t300x300.jpg

mustard oils for uti treatment

mustard oils derived from horseradish root and the nasturtium herb can be used as treatment for uti, according to a 2006 study published in the arzneimittel-forschung journal. The study found that a combination of extracts from

horseradish and nasturtium, two plants from the mustard family containing volatile mustard oils as the

active ingredients, demonstrated antimicrobial properties, meaning they kill or inhibit the growth of

microorganisms like bacteria. Researchers stated that the combination of these two supplements is a rational treatment for uti and upper respiratory infections.

In a similar study published in the
arzneimittel-forschung journal that same year, participants took either antibiotics or an herbal drug combining horseradish and nasturtium. The group who took the antibiotics

experienced a 87.9 percent decrease in symptoms versus 81.2 percent in patients who took the herbal drug.

However, researchers found that the herbal drug had a clear advantage because the participants taking the supplement needed fewer supportive procedures and administration of concurrent medication.

grapeseed extract

grapeseed extract may also be an effective treatment for uti and other infections. The supplement promotes activity to fight bacteria that are causes of urinary tract infections.

Grapeseed extract also has antifungal and antiviral properties to treat infections caused by fungi or viruses.
the university of maryland medical center recommends taking 100 milligram capsules or five to 10 drops of liquid grapeseed extract three times a day for treating infections.

mzizi mkavu naomba kujua hizo product za tiba mbadala zinapatikana wapi na ni sh. Ngapi? Nitashukuru kwani wanangu wanasumbuliwa sana na uti
 
Wadau
Naomba mnisaidie tena, UTI visababishi vikuu ni nini? Je, kuna dawa mahsusi kuizuia? Inatesa sana jamani, inatesa. Maji yanatumika sana, lakini bado sijaona improvement yake!
Ushauri tafadhari.
Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

mzizi mkavu naomba kujua hizo product za tiba mbadala zinapatikana wapi na ni sh. Ngapi? Nitashukuru kwani wanangu wanasumbuliwa sana na uti
Sijuwi kama hayo Mafuta unaweza kuyapata hpo nchini Kwetu. Ninakurahisha Dawa ya Maradhi Ya (UTI) Fanya hivi

Uchukue Vitango (cucumber) kwa wingi Usage kwa Mashine ya Blender Ufanye juisi Nzito kama Utaweza Uisage Sana Usichuje. Kisha uwe unakunywa kkutwa mara 3 kila siku.

Dawa ingine Unywe Maji ya uvuguvugu sana mara kwa mara, Ule Tikiti maji na Maji ya Madafu Sana. Maji ya dafu na

juisi ya Muwa ni nzuri sana kusafisha mkojo.

Dawa ingine ya Maradhi ya (UTI) Ugonjwa wa U.T.I kwa hivi sasa unasumbua kweli kweli, kutokana na usafi hafifu wa masinki ya misalani yetu n.k,

kwa mtu mwenye tatizo hilo atumie kuchemsha majani ya mpera na kisha anywe kutwa mara tatu glasi kwa muda wa siku 11

Ukiwa na tatizo ya UTI au Urinary Tract Infection nakupa Dawa ya bure na ipo nyumbani...nunua ' Apple Cider Vinega' Siki ya Tufaha madukani kisha chukua kijiko cha meza 'table-spoon'

tia vijiko vitatu vya hiyo Vinega kwa glasi ya maji...kunywa mara tatu kwa siku....utapona kabisaaa...endelea na dose for 4 to 7 days...kama utaona inakuchoma tumbo

punguza uweke vijiko viwe viwili mara tatu kwa siku..

Dawa ingine ya Maradhi ya (UTI) Chemsha Majani ya mpera na kisha anywe kutwa mara tatu glas kwa muda wa siku 11.

Dawa ya mwisho ya Maradhi ya (UTI) Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha

chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza

tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako Kuto tapika itarudi kawaida.Baada ya kutumia Dawa siku 7 utapona

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

TAHADHARI: usitumie dawa zote kwa wakati mmoja. kila dawa inajitegemea yenyewe nimeweke hapo

dawa Tofauti inategeme wewe ni dawa gani utakayoipata kwa urahisi tumia dawa moja kwa muda wake

kisha nenda kapime hospitali kuangalia je umepona hayo Maradhi ya (UTI) ? usipo pona tumia dawa

ingine kwa muda wake mpaka utakapo pona uje unipe Feedback.
 
UTI-means;urinary tract infection/know u
as bladder infection.Haya ni maambukizi yanayoathiri sehemu za njia ya mkojo.Maambukizi haya yakiathiri sehemu za chini za kibofu cha mkojo kitaraamu huitwa SIMPLE CYSTITIS(Bladder infection)na maabukizi hayo yakitokea sehemu za juu za mfumo wa mkojo huitwa PYELONEPHRITIS(kidney infection).dalili za magonjwa haya ni pamoja na(1)Mwili kuwa dhaifu,(2)kujisikia kichefuchefu kilamda(3) mkojo kuwa wa moto zaidi,(4)maumivu wakati wa kukojoa,(5)maumivu kwenye kiuno,(6)tumbo kuuma n.k.Ugonjwa huu husababishwa na bacteria anaeitwa Escherichia col(E.col),pia huambatana na rafiki zake kama vile,staphylococcus,saprophyticus,klebsiella,proteus,pseudomonas,enterobacter n.k,hao ndo baadhi ya wadudu hatari wanaosababisha UTI kuwa sugu.UTI inatibika kwa dawa zifuatazo,Ciprofloxacin,Fosfomycin,Monurol,Furadantin,Sulfamethoxazole,co-trimax,ampicillin,gentamicinn.k.Nina dawa ya mitishamba inayotibu na kusafisha mfumo mzima wa kibofu cha mkojo ni dawa nzurisana.ntafte kwa .0759217720
 
Sijuwi kama hayo Mafuta unaweza kuyapata hpo nchini Kwetu. Ninakurahisha Dawa ya Maradhi Ya (UTI) Fanya hivi

Uchukue Vitango (cucumber) kwa wingi Usage kwa Mashine ya Blender Ufanye juisi Nzito kama Utaweza Uisage Sana Usichuje. Kisha uwe unakunywa kkutwa mara 3 kila siku.

Dawa ingine Unywe Maji ya uvuguvugu sana mara kwa mara, Ule Tikiti maji na Maji ya Madafu Sana. Maji ya dafu na

juisi ya Muwa ni nzuri sana kusafisha mkojo.

Dawa ingine ya Maradhi ya (UTI) Ugonjwa wa U.T.I kwa hivi sasa unasumbua kweli kweli, kutokana na usafi hafifu wa masinki ya misalani yetu n.k,

kwa mtu mwenye tatizo hilo atumie kuchemsha majani ya mpera na kisha anywe kutwa mara tatu glasi kwa muda wa siku 11

Ukiwa na tatizo ya UTI au Urinary Tract Infection nakupa Dawa ya bure na ipo nyumbani...nunua ' Apple Cider Vinega' Siki ya Tufaha madukani kisha chukua kijiko cha meza 'table-spoon'

tia vijiko vitatu vya hiyo Vinega kwa glasi ya maji...kunywa mara tatu kwa siku....utapona kabisaaa...endelea na dose for 4 to 7 days...kama utaona inakuchoma tumbo

punguza uweke vijiko viwe viwili mara tatu kwa siku..

Dawa ingine ya Maradhi ya (UTI) Chemsha Majani ya mpera na kisha anywe kutwa mara tatu glas kwa muda wa siku 11.

Dawa ya mwisho ya Maradhi ya (UTI) Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha

chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.

Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza

tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako Kuto tapika itarudi kawaida.Baada ya kutumia Dawa siku 7 utapona

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!

TAHADHARI: usitumie dawa zote kwa wakati mmoja. kila dawa inajitegemea yenyewe nimeweke hapo

dawa Tofauti inategeme wewe ni dawa gani utakayoipata kwa urahisi tumia dawa moja kwa muda wake

kisha nenda kapime hospitali kuangalia je umepona hayo Maradhi ya (UTI) ? usipo pona tumia dawa

ingine kwa muda wake mpaka utakapo pona uje unipe Feedback.

asante sana
 
manajamvi, naombeni mnisaidie maana nashindwa kujua jins UTI inavosambazwa au kusababishwa na madhara yake ktk mwili wa binadamu
 
Back
Top Bottom