Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Naomba masaada wenu wana jf doctor; ni ipi tiba nzuri kwa UTIs, nimetumia:- aminoglycosides, fluoroquinolones, aminopenicillins na zingine nyingi lakini bado sijaona mabadiliko.
 
Cephalosporins specifically Cefalexin or cefadroxil if it's chronic recurrent go to to Nitrofurantoin.
 
Naomba masaada wenu wana jf doctor; ni ipi tiba nzuri kwa UTIs, nimetumia:- aminoglycosides, fluoroquinolones, aminopenicillins na zingine nyingi lakini bado sijaona mabadiliko.

Ceftriaxone i.v and Azithromycin tab
 
Wakuu nilipima na kugundulika na uti, doctor kaniandikia amoxicillin kwa kweli nilidoubt sana hivi kweli inatibu uti though ni antibiotic
 
Yap its ok don't prefer strong abx,you can go to cipro, ctx,nitrofurantoin gentamycin or cefriaxone if you wish but its ok with amoxycillin
 
UTI ni ugonjwa unaowasumbua sana watu wengi, hasa wanawake na watoto wadogo. Leo nitazungumzia UTI kwa wanawake na tiba yake.

Ugonjwa huu huambukizwa kwa njia ya maji maji, choo kichafu au kujamiiana na mtu mwenye UTI, pia kwa wanaopenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

TIBA ASILI
Chuma majani ya mpera, uyachemshe kwa dk15, kisha chuja kwenye chombo kisafi, subiri yapoe kisha kunywa kikombe kimoja mara mbili; asubuhi na jioni kwa siku 7

au

Oshea ukeni asubuhi na jionikwa siku 7. Wakati unaanza utahisi maumivu ukeni, lakini kadri unavyoosha maumivu yatapungua na yakiisha ujue umepona. Hakuna madhara wala haiwaangamizi walinzi/ bacteria wanaolinda uke.

TAHADHARI: Usinywe ukiwa mjamzito.

Maelezo zaidi niPM
 
Huu utaalam wa tiba asili umeupata wapi mkuu??
 
**** kuna mtu anaufahamu wowote kuhusu ugonjwa wa chronic uti na tiba zake za asili au hata za kisasa amwage matererial hapa
 
Njia peke ya kufanya uti isikurudie ni fata health tips na change life style vinginevyo hata ukitipiwa hutarudi tena
 
Kama wewe ni mwanamke ukiwa unajisafisha sehemu zako iwe ni kutoka mbele kwenda nyuma sio nyuma kwenda mbele

Dawa (Fluoroquinolones) zinaweza kutibu UTI mfano Levofloxacin na Norfloxacin

Kunywa maji mengi sana yanaweza kukuepusha na UTI

Usipende sana kutumia washrooms za public unless hauna choice
 
Naomba masaada wenu wana jf doctor; ni ipi tiba nzuri kwa UTIs, nimetumia:- aminoglycosides, fluoroquinolones, aminopenicillins na zingine nyingi lakini bado sijaona mabadiliko.

Badilisha pedi unazotumia tumia pedi zenye anion plate hizi zina dawa zinazolekebisha mfumo wa mkojo, kuuwa bacteria na kumantain vagina ph
 
**** kuna mtu anaufahamu wowote kuhusu ugonjwa wa chronic uti na tiba zake za asili au hata za kisasa amwage matererial hapa
Kama umetibiwa Hospitalini Maradhi ya Chronic UTI na hujapona nitafute mimi nitakutibu kwa dawa zangu za Tiba Mbadala na utapona kwa muda wa siku 21 au siku 30 tu ukihitaji matibabu yangu bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Habari zenu wapendwa,
Nina tatizo la UTI ambalo limeanza kujitokeza tokea mwanzoni mwa mwaka huu nikawa nakunywa tu dawa linapungua, kufikia mwezi wa saba nikazidiwa na kupimwa kwa Daktari nikaambia nina UTI 50,000 kitu ambacho Dk alisema ni kiwango kikubwa sana kuwahi kutokea ikabidi nipumzishwe kwa huduma ya karibu. Nilipata dawa ya vidonge jina sikumbuki ila kasha lake lima mualizeti hivi na pia nikachomwa sindano za Gentamisene.
Baada ya wiki moja kupita nilipima tena nikawa bado nina UTI 70 ambapo nilienda tu duka la dawa na kununua dawa moja inatajwa tajwa kama ni nzuri kwa UTI nimemaliza kama siku tano zimepita leo nimejihisi miwasho sehemu za siri sikusita kwenda kupimwa katika moja ya dispensay ya karibu nikakutwa tena ninayo UTI 500.
Sasa hapa sielewi kwani huu ugonjwa huwa hausikii dawa au kuna dawa nyingineambayo kali zaidi kumaliza tatizo hili? maana linonekana ni sugu sasa kwangu na nimelichoka kabisa, Naomba msaada wenu wadau wangu maana najua kwenye wengi haliharibiki neno.
Karibu
 
Pole kwa kuumwa na hayo Maradhi ya UTI ukitaka dawa ya kupona kabisa nitafute mimi Dawa ya kukuponyesha maradhi yako ya UTI ninayo ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Wewe Mzizi mkavu vipi bwna unitajie humu humu maana pia kuna wengine wana tatizo kama langu ili wajifunze dawa ipi ingefaa,, sasa mambo ya kukutafuta chemba tena ndugu hatutafaidisha wenzetu humu. Ila mrejesho ni kuwa nimeanza dozi kali zaidi ya zile zilizopita doxi ya cephalexin capsule na doxycyclene zote kwa pamoja. Wataalamu watajua.
 
Last edited by a moderator:
Sawa nashukuru nadhani nijitahidi hivyo maana wengi wamenishauri ninywe maji
 
Nahitaji msaada wa dawa nzuri ya tatizo la mkojo mchafu(UTI) kwa maana nimetumia dawa nyingi za hosptali bila mafanikio.
 
Dawa ya mwisho kutumia ilikuwa ni sindano zinazoitwa ceftriaxone(powercef) sindano tano lakini bado mkojo mchafu.
 
Back
Top Bottom