Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba masaada wenu wana jf doctor; ni ipi tiba nzuri kwa UTIs, nimetumia:- aminoglycosides, fluoroquinolones, aminopenicillins na zingine nyingi lakini bado sijaona mabadiliko.
Huu utaalam wa tiba asili umeupata wapi mkuu??
Naomba masaada wenu wana jf doctor; ni ipi tiba nzuri kwa UTIs, nimetumia:- aminoglycosides, fluoroquinolones, aminopenicillins na zingine nyingi lakini bado sijaona mabadiliko.
Kama umetibiwa Hospitalini Maradhi ya Chronic UTI na hujapona nitafute mimi nitakutibu kwa dawa zangu za Tiba Mbadala na utapona kwa muda wa siku 21 au siku 30 tu ukihitaji matibabu yangu bonyeza hapa.Mawasiliano**** kuna mtu anaufahamu wowote kuhusu ugonjwa wa chronic uti na tiba zake za asili au hata za kisasa amwage matererial hapa
Pole kwa kuumwa na hayo Maradhi ya UTI ukitaka dawa ya kupona kabisa nitafute mimi Dawa ya kukuponyesha maradhi yako ya UTI ninayo ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.MawasilianoHabari zenu wapendwa,
Nina tatizo la UTI ambalo limeanza kujitokeza tokea mwanzoni mwa mwaka huu nikawa nakunywa tu dawa linapungua, kufikia mwezi wa saba nikazidiwa na kupimwa kwa Daktari nikaambia nina UTI 50,000 kitu ambacho Dk alisema ni kiwango kikubwa sana kuwahi kutokea ikabidi nipumzishwe kwa huduma ya karibu. Nilipata dawa ya vidonge jina sikumbuki ila kasha lake lima mualizeti hivi na pia nikachomwa sindano za Gentamisene.
Baada ya wiki moja kupita nilipima tena nikawa bado nina UTI 70 ambapo nilienda tu duka la dawa na kununua dawa moja inatajwa tajwa kama ni nzuri kwa UTI nimemaliza kama siku tano zimepita leo nimejihisi miwasho sehemu za siri sikusita kwenda kupimwa katika moja ya dispensay ya karibu nikakutwa tena ninayo UTI 500.
Sasa hapa sielewi kwani huu ugonjwa huwa hausikii dawa au kuna dawa nyingineambayo kali zaidi kumaliza tatizo hili? maana linonekana ni sugu sasa kwangu na nimelichoka kabisa, Naomba msaada wenu wadau wangu maana najua kwenye wengi haliharibiki neno.
Karibu