Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natumia Bima ila kiukweli huu ugonjwa ni tatizo ,nimekosa amani kabisa.Mkuu pole sana vipi kuhusu typhoid nayo umepima, maana haya magonjwa sasa yamekuwa km HIV maana hayaishi mwilini.
Nami nimeenda hospital juzi kwa matatizo km yako ila kwa sasa wameniambia nisubirie majibu ya culture sensitivity. ila wameniambia gharama ya kipimo hiki ni elfu 20!! tena nimepima ktk hospital ya serikali, hivi nawe mkuu kipimo hiki umelipia kiasi km hiko?
[emoji22][emoji22]Wahanga tupo wengi minshaiopptezea iniue tu sabu madawa nimekunywa meng
Ulijaribu na zile sindano maana kama UTI ni sugu unaandikiwa vidonge na sindanoWahanga tupo wengi minshaiopptezea iniue tu sabu madawa nimekunywa meng
Sindano zinasaidia sana mkuuSi uchome sindano na wewe
Halaf tumia condom,wanawake wanakuambukiza UTI
Halafu wewe wa kike sipati picha aseehh!!...Wahanga tupo wengi minshaiopptezea iniue tu sabu madawa nimekunywa meng
Regency hospital kipimo cha culture sensitivity ni tsh 58,000/=Mkuu pole sana vipi kuhusu typhoid nayo umepima, maana haya magonjwa sasa yamekuwa km HIV maana hayaishi mwilini.