Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima kwenye dafu peke ake??Nenda maduka ya dawa za asili ulizia 'uwatu' ya unga weka uwatu hii kijiko kimmoja kwenye dafu kunywa fanya hivyo siku saba, leta mrejesho
Ndio uwaambie ujaribu na sindanoSindano sijadungwa wanaandika midawa tu
namaanisha maji ya dafu. hata ukiyamimina kwenye glasi na 'uwatu' ni dawa ya UTI suguLazima kwenye dafu peke ake??
Kama hujawai dungwa sindano basi bado hujajitibu. Kafanye culture sensitivity kisha upigwe Sindano.Sindano sijadungwa wanaandika midawa tu
Jambo ni moja tu ACHA KULA TIGO,acha kujiharishia au UNAOWALA PEKU WAFUNDISHE USAFI WA MWILI HASA SEHEMU ZAO ZA SIRI.Wakuu poleni na majukumu kama kichwa cha mada kinavyo jieleza,nina miezi 3 sasa nasumbuliwa na UTI isiyopona nilianza kujisikia kuwashwa kwenye njia ya mkojo Dec.2017 nikaenda hospitali baada ya vipimo ikaonekana nina UTI Dr akaniandikia dawa amoxilin nikatumia kwa ufasaha...
Du...pole sana ndugu ila usikate tamaa hivyo...pambana uokoe maisha yako taifa linakutegemeaWahanga tupo wengi mimi nimeshaipotezea iniue tu sabu madawa nimekunywa mengi
Aisome happymwashiNilipata tatizo kama lako, nikatumia Dawa nyingi sanaaa, fanya vipimo vyote wapiiii UTI haitaki kutoka.
Nikaona hapa ntaumbuka, nikaongea na bro ni pharmacist akaniandikia Dawa na sindano mbili nilichoma zote pamoja,UTI ikakata akanambia ninywe na madafu kila siku, nikawa nakunywa mpaka matatu(nilipania kupona ) sasa hivi niko Poa ile mbayaaa