Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

U T Is is the urinary tract infections and is a bacterial infection commonly caused Escherichia coli.
causes
Certain diseases or conditions - such as differences in your changes in the anatomy of your urinary tract. You may have born with these differences, or
developed later on in your life secondary to surgery or trauma (injury)
You are more at susceptible to the symptoms of urinary tract infections if you have diabetes or are sexually active.
Women who are pregnant are at a higher risk of urinary infections
Infections - abnormal bacteria or certain types of fungus (such as yeast) may have entered your urinary tract, and caused an infection. This may happen
due to the way you cleanse yourself following a bowel movement. For women especially, if you wipe from the back of your rectal area, to the front of your
body, you may contaminate your urinary tract, causing an infection.
Men with an inflammation of their prostate (prostatitis) may develop urinary infections.
Poor hygiene - people who do not cleanse themselves regularly may be more at risk for developing urinary tract infections.
transimission
1.Sexual intercause also lead to UTIs
 
habari wapendwa!kwa anaefahamu dawa ya UTI anisaidie kwani ninasumbuliwa mara kwa mara.
 
wakuu habari za leo ....nmeteseka na uti kwa muda mwingi sana wakuu,nmezunguka kila nikipewa dawa bado inajirudi,naona sasa dalili zinazidi kuwa mbaya kwani hadi upande mmoja karibu na figo unaanza kuuma naomba naomba msaada kujua wapi nitafanya culture analysis na ni kwa bei gani ...pia naweza kupata matibabu ya uhakika kabisa ,natanguliza shukurani ndugu zangu
 
Aisee hili tatizo na mimi huwa linajirudiardia, maana kila@nikienda cheki mkojo huwa naambiwa nna uti, halafu uti haizmbukizwi tu kwa njia ya kujamiiana na mwanamke, bali pia kama haunywi maji kwa muda mrefu pia huweza sababisha kupatwa na uti, tabia ya kukaa na mkojo muda mrefu pindi unapojisikia umebanwa na mkojo kuamua kukaa muda mrefu bila kukojoa, ikumbukwe kua mkojo ni uchafu wa damu, na ikikaa muda mrefu kwenye kibofu cha mkojo kua vijidudu huzaliana na kuweza sababisha uti, lakini pia vyoo vya public, au kuchangia nguo za ndani!!!, unatakiwa ukidhini na mwanamke yeyote baada ya siku moja tu nenda kapime mkojo
 
Mkuu mti mtu jaribu kutoa msaada jamaa anatafuta sehemu nzur inayofaa kwa vipimo na tiba bora ya uti xx wewe sijui ulikusudia kuandika kitu gani jirekebishe..!!
 
Mkuu mti mtu jaribu kutoa msaada jamaa anatafuta sehemu nzur inayofaa kwa vipimo na tiba bora ya uti xx wewe sijui ulikusudia kuandika kitu gani jirekebishe..!!

tatizo wabongo mmejawa kulaumulaumu tu hamna dogo wala kubwa, hapo kosa ni lipi nlilofanya?? Hyo nliyotoa elimu hata wewe ulikuwa haujui kabisa, msaada si aende dispensary nzuri iliapate hyo huduma, kama upo dar, nenda regency ipo karibu na jangwani ss, nenda agha khan,
 
Mkuu nenda dispensary nzuri yoyote, hapo utapewa ma antibioc ya ukweli, ambayo hata kula utaisi hauna hamu
 
Ila nmeenda dispensary nying tu Kama 3 hadi nikaenda na mwananyamala hosp Ila sijafanikiwa inanisumbua kwel naogopa isije Ikaenda kwenye figo
 
Nenda Hospital zinazoeleweka achana na Viji dispensary vya uchochoroni
 
Mi ilikuwa chronic nikahangaika sehemu mbalimbali hadi nilipoenda kwa Mama ngoma ndo imepona tena kwa kuchoma sindano
 
Vyoo vya kuchangia haviepukiki. Ni lazima tu itafika mahari utachangia na wenzako hata kama unachoo kizurii nyumbani kwako.

Ni kama kujikinga na malaria kwa kununua chandarua.
Wanawake wako kwenye hatari zaidi kuambukuzwa UTI kutokana na maumbire yao. Ila wanaume ni vigumu kiasi ila kunauwezekano wa kuambukizwa pia.

Unakuta wanawake wengi sana hawajui jinsi ya kujikinga na huu ugonjwa.
Kujikinga ni rahisi sana.
1. Hakikisha unamwaga maji kabla ya kuanza kazi au
2. Tembea na toiret paper au tissue paper wakati unataka kufanya kazi weka hizo papers ili maji ya siruke.
3. Kwa wale wanaotumia vyoo vya shimo madhara haya mara nyingi hayawapati.
4. Hakikisha unajikausha vizuri baada ya kazi.

Nimeona niseme hivi maana nimekuta na mmoja msomi haelewi kuhusu hili. Unajua unaweza ukadhani kuwa mtu fulani anajua kwa sababu ni rahisi sana kumbe sio.

Ni hayo tu
 
toiret ni nini?? AFU KUMBUKA HAPA NI MMU.
 
Hii kitu ni kweli kabisa huu ugonjwa miaka ya karibuni umeshamiri sana hata kwa Wanaume pia ambao inasemekana wanaambukizwa na wapenzi wao. Mwanzoni wataalamu walidhani ugonjwa huu hauwezi kuambukizwa kwa kufanya mapenzi lakini miaka ya karibuni wanadai hilo linawezekana. Kunywa maji mengi na kupima mkojo mara kwa mara na pia kuepuka utumiaji wa public toilets kwa wanawake itasaidia sana kupambana na huu ugonjwa.
 
Back
Top Bottom