Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Doxycycline inaweza kuwa tiba ila kwa ushauri wa doctor.

kuna dawa inatolewa na kampuni inayoitwa BF SUMA hiyo dawa inaitwa FEMICARE ni nzuri sana kwa tatizo lako hilo, itafute na uitumie nakuhakikishia itakuwa mwisho wa tatizo lako. utapopona uturudishie mrejesho

Pole Sana my dia,inabidi ukamuone specialist w wanawake acha kwenda hospital z kawaida,kwakuongezea wanawale wengi hawajui jins y kusafisha nyuchi ,wanaweka vidole ndan kwa adai wanasafisha kumbe wanaharibu,ukishapona jitahid kubadili mfumo mzima w kusafisha kwa bibi,usisondeke kidole utatoa bacteria wazuri wanaokulinda...google jinsi y kusafisha huko,halafu kunywa maji mengi Sana,mazoez usiache,Kula healthy food ili uipe nguvu immunity yako iweze kuoambana na magonjwa....pia kacheki STD's...

Asante sana ty02
 
Hayo maji maji ya kijani yana harufu mbaya?
Je ukifanya mapenzi unaumia?
Je tumbo la chini linauma?
Unaweza kukuta unamaambukizi sugu ya kwenye viungo vya ndani vya uzazi.
Nenda hospitali ya kueleweka kwa uchunguzi wa kina.

Kama una recurrent vaginal candidiasis jaribu kuangalia yafuatayo.....
1.Pima HIV
2. Pima kisukari
3. Angalia aina ya nguo za ndani uvaazo , ni vizuri zikawa za Pamba tupu , uwe unavaa zikiwa kavu kabisa na ukifua uanike juani ...n:b ni vizuri ukawa nazo nyingi.
4. Pia angalia unavyoiosha papuchi yako kwa ndani , excessive douching na kutumia sabuni sana unaharibu normal flora ya vagina. Haifai kuosha sana papuchi kwa ndani.
Pole sana.

Yanatoa harufu kama ya kamas, HIV nimepima mwanzon mwa mwezi huu Niko poa, wakati Wa tendo akipenetrate deep ndo nafeel pain, tumbo la chini haliumi.
 
Punguza matumizi ya ngano, inawezekana unakula sana chapati ambazo haziivi pia.
 
the best way ni kusheki na daktari mtaalamu wa mgonjwa ya zinaa, pia mtaalamu wa wanawake..
kuna wadau wamekushauri vizuri Sana hapo juu, pia umewa quote kwenye reply yako fuata ushauri wao.
nao wanao ropoka na majibu ya kitoto achana nao.ni utoto na ushamba tu.
wish you all the best.pole mama
 
Nashukuru sana, lkn pia kwa anayemfahamu dr. Bingwa wa magonjwa ya kinamama naomba anisaidie contact au anielekeze Hosp nzuri, nimeshawah pima had Kansa ya kizaz sina.
 
HVS analysis yahusika,onana na Dr aone huo uchafu unaotoka
nb,ukiwa Dr usiseme una fangus,elezea namna unavyojisikia
 
Una ukimwi wewe..huwezi kupona

Wee kigogo sijui kigodoro, utamwambiaje mwenzio maneno kama hayo? Kama huna ushauri si ukae kimya? Halafu mpaka leo UKIMWI unaona ni issue. kweli wewe kigodoro
 
Me ni specialist wa wanawake njoo unione. Afu ukitibiwa ww hakikisha mwezi wako nae katibiwa, na ucfanye ngono hadi umepona. Tatizo watu co wavumilivu
 
Nashukuru sana, lkn pia kwa anayemfahamu dr. Bingwa wa magonjwa ya kinamama naomba anisaidie contact au anielekeze Hosp nzuri, nimeshawah pima had Kansa ya kizaz sina.
Unapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom