LA kwanza kabisa ni hilo nililosema pia nakunywa maji mengi sana
Mkuu hayo yote nimefanya sana lakini wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LA kwanza kabisa ni hilo nililosema pia nakunywa maji mengi sana
Unashangaa nini
Wakati mi nimeumwa UTI miaka kama 2 siponi ila now na miaka imekata
Mkuu hayo yote nimefanya sana lakini wapi
Asante mkuu binafsi nimekuelewa
Ni Muda gani unayo UTI na hospital wamekupa dawa gani na una msichana huwa mnakutanaga kimwili mara kwa mara?
Hakuna msicha ninae kutana nae mara kwa mara na hili tatizo ni tokea mwaka jana kati ya mwezi wa tisa au wa kumi
Sawa we jitahidi kufanya kama mimi mzazi utapona tu
Nilikwenda hospital nkaambiwa na dokta ukitumia maji kinyesi kinarudi kwenye njia ya mkojo wale vijidudu vinakuwaga kwenye kinyesi hvyo unatakiwa uanze na toilet paper halafu maji yafuate usianze na maji direct
Sababu kubwa ni kutokuosha tupu zenu mnapokwenda haja.
Kwahyo nikienda kukojoa naoshaje yangu?
Kwahyo nikienda kukojoa naoshaje yangu?
mmmmh hii mbona mpya