Maujohnsimba
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 246
- 225
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tulia uandike vizuri, hao ndugu zako ni wanawake wangapi? Kwa hiyo thread yako ni kama una kundi la ndugu wanawake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tulia uandike vizuri, hao ndugu zako ni wanawake wangapi? Kwa hiyo thread yako ni kama una kundi la ndugu wanawake.
Mkuu tulia uandike vizuri, hao ndugu zako ni wanawake wangapi? Kwa hiyo thread yako ni kama una kundi la ndugu wanawake.
Msome mtetezi.com hapaAcha ufala wap nimeandika Ndugu zangu au Bangi za mchana zinakupelekesha
Sometimes kama huna jibu ni bora Utulie sio lazima kujbu
#Blalfaken
Cefixime 400mg bd x10/7
Nunua hiyo!
Kidonge kimoja ni sh 2,000 but itamtibu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Getermisine, au wafanye culture sensitivity kuotesha wadudu na kuwajaribu dawa za kuwauwa. Apunguze ngono au atumiye condoms.Wadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi
Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Mkuu pitia huu Uzi,nakuhakikishia kuwa ufuata matumizi sahihi ya dawa hii Ni siku tatu tu huna UTI,na kamwe hutotumia Tena dawa za kisasaWadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi
Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Mkuu x10/7 ndio nini? Tufafanulie pls.Cefixime 400mg bd x10/7
Nunua hiyo!
Kidonge kimoja ni sh 2,000 but itamtibu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hizo dawa za hospital zikishindwa tuwasiliane ya UTI na Tyford Sugu mimi Wife aliitumia amesahau kabisa kama alishawahi kupata hilo tatizoWadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi
Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Kabla ya kuanza kutumia dawa mpya ni vyema akapime na magonjwa ya ngono(sphillis na Gonorrhea),Mkojo(Urinalysis) na Ultrasound kwa ajili ya P.I.D( Pelvic Inflammatory Disease)Wadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi
Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Getermisine, au wafanye culture sensitivity kuotesha wadudu na kuwajaribu dawa za kuwauwa. Apunguze ngono au atumiye condoms.
Endelea zaidiUna very wrong concept ya UTI!!
UTI haiapumbukizi (siyo ugonjwa wa zinaa). Bacteria wanaosababisha UTI wanatoka ndani ya mwili wa mgonjwa mwenyewe (endogenous infection). Bacteria hawa ni kati ya wale wanaoitwa normal flora.
Kirefu cha UTI ni urinary tract infection, yaani uambukizo wa njia ya mkojo. Njia ya mkojo ni kutoka urethra hadi kidneys (figo), yaani pamoja na kibofu cha mkojo na ureters. However, the urethra (not ureter) is not involved in most cases in UTI. The urethra is involved in sexually transmitted infections.
Major Symptoms and signs: Kukojoa mara kwa mara kunakoambatana na maumivu makali sana sehemu ya mwisho ya urthra, n.k.
Wanawake wanaugua UTI mara kuliko wanaume. Hii inatokana na tofauti ya maumbile.
Inatibika kirahisi.
Sababu za mtu kuugua UTI (predisposing factors) ziko nyingi sana.
Kwa heri kwa leo!!
.habar za majukumu ndugu zangu....husiken na kichwa cha habar hapo juu....nimekuwa nikisumbuliwa na u.t.i ya mara kwa mara au naweza nikasema u.t.i sugu sababu haisikii kabisa dawa.
sasa naomba mwenye kujua dawa hasa napenda iwe ya asili anisaidie maana dawa za kizungu nimemaliza karibu zote lakin tatizo bado linaendele.
Natanguliza shukran zangu...cc mziz mkavu