Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Mwambie afanye culture
Itampa aina ya mdudu na dawa ya kumuua
Then ajitahidi kuwa mkavu muda wote huko sehemu zake za siri as unyevuunyevu husababisha sana U.T.I mara kwa mara!
 
Mkuu tulia uandike vizuri, hao ndugu zako ni wanawake wangapi? Kwa hiyo thread yako ni kama una kundi la ndugu wanawake.

Acha ufala wap nimeandika Ndugu zangu au Bangi za mchana zinakupelekesha
Sometimes kama huna jibu ni bora Utulie sio lazima kujbu
#Blalfaken
 
Wadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi

Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Getermisine, au wafanye culture sensitivity kuotesha wadudu na kuwajaribu dawa za kuwauwa. Apunguze ngono au atumiye condoms.
 
Wadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi

Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Mkuu pitia huu Uzi,nakuhakikishia kuwa ufuata matumizi sahihi ya dawa hii Ni siku tatu tu huna UTI,na kamwe hutotumia Tena dawa za kisasa
 
Wadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi

Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Kama hizo dawa za hospital zikishindwa tuwasiliane ya UTI na Tyford Sugu mimi Wife aliitumia amesahau kabisa kama alishawahi kupata hilo tatizo
 
Wadau na ndugu yangu (Wakike) wanasumbuliwa sana na UTI kapewa kila aina ya dawa za hospital but haponi

Nisaidie dawa nzuri ya kutibu UTI anaumwa hadi anakosa raha
Kabla ya kuanza kutumia dawa mpya ni vyema akapime na magonjwa ya ngono(sphillis na Gonorrhea),Mkojo(Urinalysis) na Ultrasound kwa ajili ya P.I.D( Pelvic Inflammatory Disease)
 
Daktari makini hawezi tumia mkojo tu kutambua ni uti
Yafuatayo yalifanyika
1..kidole alikuingiza kidogo kakagua kwanjia hiyo

2.muda mwingine hata magono tunaambiwa UTI ili kuficha mgogoro ndani yanyumba ili kuzuia swali lanani kaleta

Umeolewa,njoo hapakwangu nikupime

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Una very wrong concept ya UTI!!

UTI haiapumbukizi (siyo ugonjwa wa zinaa). Bacteria wanaosababisha UTI wanatoka ndani ya mwili wa mgonjwa mwenyewe (endogenous infection). Bacteria hawa ni kati ya wale wanaoitwa normal flora.

Kirefu cha UTI ni urinary tract infection, yaani uambukizo wa njia ya mkojo. Njia ya mkojo ni kutoka urethra hadi kidneys (figo), yaani pamoja na kibofu cha mkojo na ureters. However, the urethra (not ureter) is not involved in most cases in UTI. The urethra is involved in sexually transmitted infections.

Major Symptoms and signs: Kukojoa mara kwa mara kunakoambatana na maumivu makali sana sehemu ya mwisho ya urthra, n.k.

Wanawake wanaugua UTI mara kuliko wanaume. Hii inatokana na tofauti ya maumbile.

Inatibika kirahisi.

Sababu za mtu kuugua UTI (predisposing factors) ziko nyingi sana.

Kwa heri kwa leo!!
Endelea zaidi
 
Habari zenu wapendwa me nina shida moja natokwa na maji maji ambayo hayana uchafu wowote nikibanwa na mkojo kabla sijaenda kujisaidia nilienda hospital nkapima nkaandikiwa dawa nkachoma sindano za zinaitwa AXONE nkatumia pia AZUMA AZITHROMYCIN na CO-AMOXICLAV CLEDOMOX625 ilaa tatizo bado ninalo
 
.habar za majukumu ndugu zangu....husiken na kichwa cha habar hapo juu....nimekuwa nikisumbuliwa na u.t.i ya mara kwa mara au naweza nikasema u.t.i sugu sababu haisikii kabisa dawa.

sasa naomba mwenye kujua dawa hasa napenda iwe ya asili anisaidie maana dawa za kizungu nimemaliza karibu zote lakin tatizo bado linaendele.

Natanguliza shukran zangu...cc mziz mkavu
 
Choo unachotumia kiwe kisafi muda wote, flush kila baada ya kutumia iwe haja ndogo au kubwa. Tumia sabuni ya choo kusafishia kama huna sabuni ya unga inafaa.

Kunywa maji ya kutosha uwe inakojoa angalau kila baada ya masaa mawili.

Muone daktari kwa tiba zaodi.
 
.habar za majukumu ndugu zangu....husiken na kichwa cha habar hapo juu....nimekuwa nikisumbuliwa na u.t.i ya mara kwa mara au naweza nikasema u.t.i sugu sababu haisikii kabisa dawa.

sasa naomba mwenye kujua dawa hasa napenda iwe ya asili anisaidie maana dawa za kizungu nimemaliza karibu zote lakin tatizo bado linaendele.

Natanguliza shukran zangu...cc mziz mkavu

hakuna U.T.I sugu bali ni Usugu wa dawa
na una deal na mwanamke/wanawake Wenye fangasi SUGU

tumia dawa hii AMOXICILILINE na CLAVULATE
mwambie akupe dozi ya UK kwa siku 10
ukimaliza kaa siku 5 au wiki kisha
tumida dawa hii CITAL syrup ili kufrash masalia ya bacteria

baada ya hapo kaa miezi miwili usitombe ili kupona kabisa Athari zilizotokana na mashambulio ya mfumo wa mkojo

na ukitaka kumrudia demu/mke wako mpe dozi ya siku tano na antifungal cream ajipake kunako wiki nzima
akisha maliza dozi akae mwenzi ndio uanze kumcheda
na baada ya kupona acha kutombatomba malaya ndio unampelekea mwenzio FUNGA ambao wanakuletea athali wewe

ukifanya masihara FIGO zitafail shauri yako
 
Back
Top Bottom