Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

[TABLE="class: health, width: 594, align: center"]
[TR]
[TD="class: boxheader, align: center"]UTI tea[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]
iStock_pestle.jpg
UTI Tea Start drinking this tea at the first signs of a bladder infection. It cleanses your system by gently increasing urine output and killing bacteria. Add lemon to this tea to help alkalize your system. Stevia instead of honey will stave the bacteria of the sugar those little critters crave. 719[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]
  • 1 tablespoon agrimony
  • 1 teaspoon crushed juniper berries
  • 1 teaspoon cinnamon powder
  • 2 cups water
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]Cautions: Limit your use of juniper berries if you start to smell violets when urinating.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]Additions:Lemon and Stevia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]Variations:Adding a pinch of baking soda will help decrease the burning sensation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]Ingredients:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: left-justify"]Recipe Instructions: :Combine herbal mixture with cold water and bring to a boil over a low heat. simmer for 10 minutes, then turn off heat and infuse until cool enough to drink.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
naunga mkono bayyo
swali unajuaje kwamba una UTI?
dawa gani umetumia?
kwa muda gani
umewahi kufanya vipimo gani?
ushauri fanya vipimo
urine analysis
mazingira ya usafi mwili na mavazi
kunywa maji ya kutosha
tumia condom kwa wapenzi
maelezo
far a patient who z avin recurent UTI
we have to rol out the posibility of blader chronic inflammation una jiwe labda kwa mfumo wa mkojo?
ushawahi kupata kichocho
damu kwa mkojo?
au unapresent vip?
am afraid to say some more n worse cases of blader cancer can initialy present with chronic recurent UTI
 
Maswali ya msingi sana na ushauri mzuri sana umempa..ni yeye tu kufanyia kazi, labda atarudi kujibu maswali wengi akipost tu anatokomea.
 
Naomba ushauri wa kitabibu juu ya ugonjwa wa UTI. Mi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28. Kwa miaka miwili sasa nimekuwa nasumbuliwa na ugonjwa huu. Na nimekuwa natumia dawa mbalimbali bila mafanikio. Naomba ushauri wenu!
Yawezekana ikawa kisonono.
 
Ilikuwa siku ya jana nlipoenda kupima nikiwa na baby wangu na kukutwa na uti nikapewa dawa leo asubuhi nikamwambia baby kuwa itabidi na yeye apime cha ajabu akasema hawezi fanya hivo mpaka atakapoumwa nikamwambia ok ila sintasex tena na wewe akasema
 
akasemaje mbona kama umeishia hewani
 
Ilikuwa siku ya jana nlipoenda kupima nikiwa na baby wangu na kukutwa na uti nikapewa dawa leo asubuhi nikamwambia baby kuwa itabidi na yeye apime cha ajabu akasema hawezi fanya hivo mpaka atakapoumwa nikamwambia ok ila sintasex tena na wewe akasema

akasema nn sasa??? kiswahili kumbe nacho ni kigumu eee
 
Ilikuwa siku ya jana nlipoenda kupima nikiwa na baby wangu na kukutwa na uti nikapewa dawa leo asubuhi nikamwambia baby kuwa itabidi na yeye apime cha ajabu akasema hawezi fanya hivo mpaka atakapoumwa nikamwambia ok ila sintasex tena na wewe akasema

Akasema nini,si bora ungejipanga vizuri then ukaja kutudanganya hapa
 
Akasema nikipona tusiendelee na mambo yale kisa ati mie simwamini, tena kwa hasira, dah? Nikaamka kwa hasira bila kusbiri chai naona hana utii kama mwanamke wa kiafrika anavyotakiwa, plz ushauri kabla sijampa talaka yake, thnx wakuu,
 
mchumba anaachwa taraka???!alafu mna duu wakati ni wachumba??!au unaonja kwanza?!ili kumfanya awe mchumba ako ulitumia vigezo gani??!tegemea makubwa zaidi.na usitangulize mapenzi weka prinsipo za maisha mbele.je mmecheki na na kale kamjamaa (hiv)??!BADO UNA CHANCE.
 
Habari za jumapili wapendwa,naomba kuuliza nini dawa nzuri ya UTI,mana nilipima hosp na wakaniambia ni UTI wakanipa anti biotics,Cplo na dox,sasa tatizo limerudi tena,je kuna dawa mbadala?hata kama ni ya kienyeji jamani mana hali yangu si nzuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom