Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri rubii but pana wengine waweza shindwa kukufuata hukooooo PM ....
ingekuw poa kama wangeshauliw hapa
Nashangaa mtu anaingia ofsini mara anakimbilia kupuu halafu anachafua hewa mpaka wenzake wanatoka njee. Hasa wanywaji wa Safari bia na pombe ya mnazi. Shame thing,!!!Vyoo vya public vinachangia sana kusambaza ugonjwa huu kwa wanawake. Kunywa maji mengi husaidia sana lakini kama bi dada nao ugonjwa huu na njemba wake ambao hupeana yale mambo matamu basi njemba naye inabidi atibiwe ili kuumaliza ugonjwa vinginevyo utakuwa unajirudia kila mara.
4cm mkuuurethra ya mwanamke ina cm ngapi?
Yaonesha maji mengi kweli ni tiba . ...... je hayo maji mengi ndo tiba kabisa ama itakubidi upate na "kikombe cha babu wa samunge"Kunywa maji kwa wingi hakikisha kila unapoenda kukojoa mkojo wako unakua mweupe....utakunywa madawa mengi ya hosptal na itakua inajirudia!!Dawa ni kunywa maji mengi sanaaaa hasa Asubuhi kabla ya kupata breakfast
Utafiti huo umetupiwa hapa .... "ngono double" .... Twaweza mpooooooooooooooooo[emoji1] [emoji1]Teenagers wasiku hizi wana pata San UTI kwakuwa wana Fanya ngono nyuma na mbele na ndo maana bacteria wa nyuma wana hamia na mbele(ngini kinyume na maumbile)husababisha UTI
Umeniongezea "ubuyu" mkuu ... na umesaidia kupunguza udadisi nilokuwa nao juu ya kwa nini maambukiz yamekuwa mengi nowadays kuliko zamaniVyoo vya kisasa vya kuflash ni sababu ya ongezeko la tatizo la UTI hasa kwa wanawake. Zamani enzi za vyoo vya shimo UTI ilikuwa haijulikani kwani ilitokea kwa nadra sana. Lakini leo tatizo hili ni la kawaida sana. Elimu inahitajika ili kutunza usafi wa vyoo vya marumaru na kutunza sehemu za mwili ambazo zinapata maabukizi.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hakika nimehabarika ..... hongera ..... akina dada pitieni hapa mhabarike pia. ..Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla ndio wanaonekana hasa kuwa wahanga wa UTI kwa sababu ya maumbile ya sehemu za siri hasa wakati wa kujisaidia haja ndogo.
Katika shule za bording (goverment) na vyoo vya maeneo ya public huwa ni vichafu sana, hivyo kupelekea maambukizi ya gonjwa hili.
Kinachotakiwa kufanyika ili kupunguza maambukizi haya kwa wasichana na wanawake kwa ujumla kama ifuatavyo:
1. Kabla ya kujisaidia haja kubwa au ndogo hakikisha unasafisha choo kwa dawa za chooni au sabuni ya dettol itakayosaidia kuua vijidudu vilivyokuwepo tayari kwenye sinki la choo.
2. Unapomaliza kujisaidia, wakati wa kuchamba unatakiwa kuwa makini, anza kujisafisha ukeni baada ya hapo ndiyo usafishe na sehemu ya haja kubwa. Wengi wao hujiongeza maambukizi wenyewe kwani vijidudu vya UTI hukaa katika haja kubwa, kwa hiyo unapochamba kuanzia sehemu ya haja kubwa na kumalizia sehemu ya haja ndogo unakuwa umewahamisha wadudu hao kutoka kwenye kinyesi na kuwaruhusu waingie kwenye njia ya mkojo.
3. Pia unashauriwa kunywa maji safi na salama kwa wingi kwani kusaidia kuondoa tatizo hili kama halijawa kubwa.
Asanteni.
ikishagundulika kuwa una UTI ni lazima utibiwe kitaalamu sana maana kuna uti changa na uti sugu... uti changa inatibika kirahisi kwa kutumia antibiotic za kawaida ila kwa UTI sugu ni lazima itibiwe kwa utaalamu sana maana madhala yake yaweza hata kusababishia matatizo ya uzazi mfano kuwa tasa ama mgumba kabisa.... kunywa maji mengi siyo dawa bali ni njia ya ziada ya kupunguza maambukizi ya UTI maana unaweza kunywa maji mengi halafu ukajikuta unaona uvivu kwenda haja ndogo na hapo ukishakaa na mkojo kwa muda mrefu ni hatari sana kwa kuwa utakuwa unachochea zaidi UTI kuanza jichimbia ndani ya kibofu cha mkojo... mana mkojo ni uchafu wa mwilini ambao ukikaa muda mrefu kwenye kibofu cha mkojo vimelea huwa vinatabia ya kuanza kujizalisha na kupelekea ugonjwa huu hatari sana.... ukiona unadalili za UTI usithubutu kujitibu bali nenda hospitali kwa ajili ya vipimo zaidi!! ahsanteKunywa maji mengi itapotea yenyewe
Asante sana mkuu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hakika nimehabarika ..... hongera ..... akina dada pitieni hapa mhabarike pia. ..
urine culture nyingi walizo fanya wame isolate E. colli ila antibacteria parten nyingi zimeanza kuonyesha resiatance kuna stady ilifanyika muhimbili, ila genta bado inafanya kazi4cm mkuu
Anayehitaji dawa anifuate PM