Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Daaaah. Umaskini mbaya sana. Wewe umerithisha nini kwa watoto wako kama mzazi? Mzazi ndo anapaswa arithishe watoto. Mali ya mzazi ni ya watoto. Usikae kuanza kutamani mali ya mwanao wewe mchawi.Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?
Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki.
Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi wake hawaambulii chochote. ZERO. Ni kama hawakuwahi kumlea, kumpa elimu, au kumsindikiza katika safari ya maisha.
Mali zote zinarithiwa na mke na watoto lakini kiuhalisia mali zote zinakuwa ni za mke kwasababu watoto bado ni wadogo hawajitambui, Mke huyo ataolewa tena na mwanaume mwingine, mali alizorithi zitakuwa ni za ndugu zake na mme wake mpya.
Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Ni kweliKuna urithi wa kikristo?? Mimi najua hivi vitu vipo chini ya sheria ya nchi sio dini
Kichwani limebebelea inya linafikri lina ubongo!wakati wenzako tunawaza kupitia ubongo ulio kichwani wewe mwenzetu tuambie ukweli ubongo wako unaonekana haupo kichwani sema vizuri ubongo wako uko wapi..?
Hizo zote ni tamaa tu ndizo zinawafanya walilie mali ya marehemu!Uislamu pekee ndo dini inotenda haki kwa watu wa rika zote
Urithi kwenye Uislamu kila mtu mwenye haki yake atapata mpaka jirani sio wazee tu
Waambie !!! Wengi hawalijui hiliMzee, Mali zinabaki kwa watoto tu, mke anakuwa kama msimamizi. Mzazi unarithije mali za mtoto wako? Labda afariki bila kuwa na watoto
Sheria nyingi za nchi ziliwekwa kwa mfumo kristoWakristo hawana sheria ya urithi wa mali, Wakristo urithi ugawanywa kwa mujibu wa mila na sheria za Serikali, Wakristo wanaojitambua hawajasurrender taratibu zao kwa dini yao, dini ni sehemu ya kuabudu tu lakini mila na tamaduni zao zinaendelea kama kawaida zikilindwa na sheria ya Jamhuri.
Hadi mtoto wa nje ya ndoa?Uislamu pekee ndo dini inotenda haki kwa watu wa rika zote
Urithi kwenye Uislamu kila mtu mwenye haki yake atapata mpaka jirani sio wazee tu
Ataacha baba na mama ataambatana na mkeweKwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?
Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki.
Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi wake hawaambulii chochote. ZERO. Ni kama hawakuwahi kumlea, kumpa elimu, au kumsindikiza katika safari ya maisha.
Mali zote zinarithiwa na mke na watoto lakini kiuhalisia mali zote zinakuwa ni za mke kwasababu watoto bado ni wadogo hawajitambui, Mke huyo ataolewa tena na mwanaume mwingine, mali alizorithi zitakuwa ni za ndugu zake na mme wake mpya.
Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Huyu amalizane na mzee wake kabla ya kifo chakeHadi mtoto wa nje ya ndoa?
Kwa hiyo sio tena dini ya haki?Huyu amalizane na mzee wake kabla ya kifo chake
Mtoto wa nje ya ndoa kwenye Uislamu harithi chochote
Huna hoja ndugu sipendi ubishani uso na maana hlf unauliza kitu ambacho jibu lke unalijuaKwa hiyo sio tena dini ya haki?
Hakuna sheria ya serikali (Tanzania) ambayo inaeleza kina nani watastahili kurithi mali kupitia mirathi pale ambapo kunakua hakuna wosia. Sheria za Tanzania zinasema waombaji wa usimamizi wa mirithi wanatakiwa wawe watu wenye maslahi na mali za marehemu, na kisha huyo msimamizi ndio atawatambua warithi ni kina nani na ndiye atayeamua nani arithi na nani asirithi.Ukristo hauna sheria yake kwenye urithi.
Bali unafata sheria ya serikali na sheria za kimila za wanandoa
Kwenye sheria ya serikali wazazi wanaingia kwenye urithi
Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ?
Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki.
Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi wake hawaambulii chochote. ZERO. Ni kama hawakuwahi kumlea, kumpa elimu, au kumsindikiza katika safari ya maisha.
Mali zote zinarithiwa na mke na watoto lakini kiuhalisia mali zote zinakuwa ni za mke kwasababu watoto bado ni wadogo hawajitambui, Mke huyo ataolewa tena na mwanaume mwingine, mali alizorithi zitakuwa ni za ndugu zake na mme wake mpya.
Wazazi wanaambulia SIFURI / ZERO, labda iwe ni kwa huruma tu au kuna usia uliachwa.
Ulitaka ziwekwe kwa mfumo Islam?Sheria nyingi za nchi ziliwekwa kwa mfumo kristo