imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Failed State.dead and gone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Failed State.dead and gone
Bro Tanzania unavyoiona Kwa macho sivyo ilivyo kizani.Jana Jumamosi nilikuwa Kigsmboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.
Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.
Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.
Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.
Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Bro Tanzania unavyoiona Kwa macho sivyo ilivyo kizani.
Hili ni Taifa hatari Sana kinyume na udhaniavyo, eti Rapid force-thubutu!
Muulize Lowasa na Kikosi chake maalumu kikiongozwa na K-2 aliyepata mafunzo Korea Kaskazini Kwa miaka 4 na makomandoo wengine aliishia wapi.
Hakuamini macho yake pale Magomeni-Lowasa; Saivi hana hamu!
Usione unalala, unaamka, unakojoa-kojoa hovyo njiani ukadhani nchi imelala, Wewe! Wewe! Wewe!
Kojoa ulale mdogo wangu! Ukiona mtu anasimama anapiga kelele huyo kaachwa tu achangamshe watu, lkn juu ya kuvuruga Amani ya nchi hakuna mwenye ubavu.
Hata TEC wanajua fika kuwa hakuna mwenye ubavu wa kuivuruga hii nchi! We kale kanywe Kanye na kukojoa tafta videmu kula mbunye karudi nyumbani lkn juu ya kuvuruga Amani ya Taifa hili huwezi na hayupo wa kuthubutu!
Hao vijana wasikutishe, wanafurahi tu, na kusherehekea nchi Yao na wako huru kufanya hivyo lkn suala la usalama wa nchi usithubutu kukohoa!
J.pili njema, karibu beach kidimbwi ule ngisi, ukifika jioni nichek utaniona pembeni Kwa big hapa nakula Zazi we utakuta Kuna watu wanne wamekaa mm nitakuwa miongoni mwao.
Ukifika njoo umevaa kimpira mkononi nitakujua tu kimyakimya kuwa ni Wewe hivyo waitress atakujali Kwa chupa utakazo mdogo wangu!
Wabilah wataufiq!

Wapinzani wakifanya hivyo mara Moja utaona matamko na Sheria za dharura kuwa amani ya nchi inataka kuharibiwa. Tuliona hayo dhidi ya redbrigade. Huwa nasema bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, huu upuuzi wa ccm hautakoma.Acha watu wakonge nyoyo zao kwani msosi wala kodi huwalipii!
KumekuchaBro Tanzania unavyoiona Kwa macho sivyo ilivyo kizani.
Hili ni Taifa hatari Sana kinyume na udhaniavyo, eti Rapid force-thubutu!
Muulize Lowasa na Kikosi chake maalumu kikiongozwa na K-2 aliyepata mafunzo Korea Kaskazini Kwa miaka 4 na makomandoo wengine aliishia wapi.
Hakuamini macho yake pale Magomeni-Lowasa; Saivi hana hamu!
Usione unalala, unaamka, unakojoa-kojoa hovyo njiani ukadhani nchi imelala, Wewe! Wewe! Wewe!
Kojoa ulale mdogo wangu! Ukiona mtu anasimama anapiga kelele huyo kaachwa tu achangamshe watu, lkn juu ya kuvuruga Amani ya nchi hakuna mwenye ubavu.
Hata TEC wanajua fika kuwa hakuna mwenye ubavu wa kuivuruga hii nchi! We kale kanywe Kanye na kukojoa tafta videmu kula mbunye karudi nyumbani lkn juu ya kuvuruga Amani ya Taifa hili huwezi na hayupo wa kuthubutu!
Hao vijana wasikutishe, wanafurahi tu, na kusherehekea nchi Yao na wako huru kufanya hivyo lkn suala la usalama wa nchi usithubutu kukohoa!
J.pili njema, karibu beach kidimbwi ule ngisi, ukifika jioni nichek utaniona pembeni Kwa big hapa nakula Zazi we utakuta Kuna watu wanne wamekaa mm nitakuwa miongoni mwao.
Ukifika njoo umevaa kimpira mkononi nitakujua tu kimyakimya kuwa ni Wewe hivyo waitress atakujali Kwa chupa utakazo mdogo wangu!
Wabilah wataufiq!
"ukinikuna nitakupapasa'' machizi yanamkuna mama .....CCM ni genge la matapeli na majangili tupu
kikinuka kinanuka tu, usitishe watu; kuna mtu alikuwa anaogopwa kama Gadafi nchini mwake.Bro Tanzania unavyoiona Kwa macho sivyo ilivyo kizani.
Hili ni Taifa hatari Sana kinyume na udhaniavyo, eti Rapid force-thubutu!
Muulize Lowasa na Kikosi chake maalumu kikiongozwa na K-2 aliyepata mafunzo Korea Kaskazini Kwa miaka 4 na makomandoo wengine aliishia wapi.
Hakuamini macho yake pale Magomeni-Lowasa; Saivi hana hamu!
Usione unalala, unaamka, unakojoa-kojoa hovyo njiani ukadhani nchi imelala, Wewe! Wewe! Wewe!
Kojoa ulale mdogo wangu! Ukiona mtu anasimama anapiga kelele huyo kaachwa tu achangamshe watu, lkn juu ya kuvuruga Amani ya nchi hakuna mwenye ubavu.
Hata TEC wanajua fika kuwa hakuna mwenye ubavu wa kuivuruga hii nchi! We kale kanywe Kanye na kukojoa tafta videmu kula mbunye karudi nyumbani lkn juu ya kuvuruga Amani ya Taifa hili huwezi na hayupo wa kuthubutu!
Hao vijana wasikutishe, wanafurahi tu, na kusherehekea nchi Yao na wako huru kufanya hivyo lkn suala la usalama wa nchi usithubutu kukohoa!
J.pili njema, karibu beach kidimbwi ule ngisi, ukifika jioni nichek utaniona pembeni Kwa big hapa nakula Zazi we utakuta Kuna watu wanne wamekaa mm nitakuwa miongoni mwao.
Ukifika njoo umevaa kimpira mkononi nitakujua tu kimyakimya kuwa ni Wewe hivyo waitress atakujali Kwa chupa utakazo mdogo wangu!
Wabilah wataufiq!
Mkiambiwa kiti cha U - Rais sasa kinakaliwa na JezebelJana Jumamosi nilikuwa Kigsmboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.
Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.
Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.
Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.
Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Red brigade walizuiwa kufanya tamasha la muziki?Wapinzani wakifanya hivyo mara Moja utaona matamko na Sheria za dharura kuwa amani ya nchi inataka kuharibiwa. Tuliona hayo dhidi ya redbrigade. Huwa nasema bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, huu upuuzi wa ccm hautakoma.
Hawa vijana si wafuasi wa CCM wao wamerubuniwa na malipo wanayopewa na serikali kila baada ya mkutano, baada ya hapo sasa ni kila mtu na wake mimba na ukimwi ajali kazini.Mkiambiwa kiti cha U - Rais sasa kinakaliwa na Jezebel
muwe mnaelewa..
Ni kweli kinachoendeleaga kwenye scene ya mikutano ya huyu mama na viongozi wenzake serikalini ni uhuni na uchafu mtupu.
Hakuna utukufu wa Mungu wowote huambatana na kiongozi wetu huyu bali kwa macho na masikio utaona na kusikia shetani akitukuzwa mwanzo hadi mwisho kwa sababu hao ni wafuasi wake...
Hiki chama tangu kilipoachana na Mungu na kuanza kumtumikia yule mwovu kimeleta madhara makubwa sana ktk nchi
Poa jaribu braza tuone!kikinuka kinanuka tu, usitishe watu; kuna mtu alikuwa anaogopwa kama Gadafi nchini mwake.
wananchi wakiamua kuingia mtaani mtaua mpaka mtaacha tena wajomba na shangazi zenu mtaacha hamtawamaliza.... Damu nzito kuliko maji. Ukielewa elewa hivyo, hutaki acha vitokee
Nakushauri jaribu kuwaamsha bro!Hii nchi ni uvumilivu tu wa wananchi + woga.
Hii system tuliyonayo ipeleke america or hapo kenya tu kama ita last a year.
Sishabikii vurugu but wananchi wenyewe wamelala
Israel ilifanya hivyo kwa HAMAS, leo HAMAS kimekuwa mwiba mchungu kwa Israel na PLO iliyokuwa ikiishabikia.Kimsingi ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu. Ukiacha kuwavutisha bangi na kuwapa pombe hao vijana wa hovyo wa hamasa na Music. Ila chama hiki kinapeleka vijana wanaoitwa Green Guard jeshini ikiwemo JWTZ, JKT and so on kwa Jina la uzalendo. Hii ni hatari kama tutaruhusu vyama viwe na jeshi kamili. Hawa wanaoitwa Chipukizi hadi vijana wa Hamasa wengi wamekuwa trained kijeshi pia.
Si wapeleke vijana hao kwenye BBT alafu waache Polisi ifanye kazi yake kwy mikusanyiko? Au BBT ni ya wateule.Hawa vijana si wafuasi wa CCM wao wamerubuniwa na malipo wanayopewa na serikali kila baada ya mkutano, baada ya hapo sasa ni kila mtu na wake mimba na ukimwi ajali kazini.
Hawa wanaoshindwa kuitumia nguvukazi ya vijana kwenye maendeleo eti ndio wanakuja na hoja ya dira 2050! Waongo.
You look myopic in matters securityAcha watu wakonge nyoyo zao kwani msosi wala kodi huwalipii!