Uroho wa madaraka wa CCM utaleta janga kwa taifa kwani unaunda kikosi cha wapiganaji wa dharura (RAPID FORCE)

Ni mazoea, ya kila kipindi cha uchaguzi kikikaribia, kuna viushabiki vinaibuka. Mmmh ila muelekeo huu wa kipindi hiki ni tofauti na unajiongeza kusiko. Tatizo ni uongozi mbovu.
Najiuliza sipati jibu; hiv Inakuaje wewe kiongozi mkuu unaambiwa mtaani kuna chawa wako. Chawa yaani chawa ati na wewe umekaa ikulu unakenua mashavu tu. Stupid. Umeshindwa hata kurekebisha utumike msamiati mzuri. Huu uongozi wako mchafu unazalisha chawa tu, na cha kushangaza hawajifichi wanaona sifa kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili uwape teuzi. Na wewe unateua chawa wako, namalizia stupid!
 
Huyo kiongozi anafurahia hao chawa na kuna uwezekano mkubwa kuwa ndiye anayetoa pesa za posho za hao chawa, tukumbuke huko siku za nyuma aliwahi kutahadharisha kuwa ukimsema ujue naye anao chawa wake ambao hawatakubali, na kaulimbiu yao ni hiyo "ukimzingua na sisi tutakuzingua".
 
GBXxo56W8AEEwKx.jpeg

UVCCM wapiganaji wa kikosi cha dharula wanaoandaliwa na CCM!.
 
Back
Top Bottom