Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Ni mazoea, ya kila kipindi cha uchaguzi kikikaribia, kuna viushabiki vinaibuka. Mmmh ila muelekeo huu wa kipindi hiki ni tofauti na unajiongeza kusiko. Tatizo ni uongozi mbovu.
Najiuliza sipati jibu; hiv Inakuaje wewe kiongozi mkuu unaambiwa mtaani kuna chawa wako. Chawa yaani chawa ati na wewe umekaa ikulu unakenua mashavu tu. Stupid. Umeshindwa hata kurekebisha utumike msamiati mzuri. Huu uongozi wako mchafu unazalisha chawa tu, na cha kushangaza hawajifichi wanaona sifa kujitokeza kwenye vyombo vya habari ili uwape teuzi. Na wewe unateua chawa wako, namalizia stupid!