Haijawahi kutokea nchi kuwa na kiongozi mropokaji kama huyu wa sasa. Huyu mtu ni mropokaji na mwongo wa kutisha.
Anawadanganya wajinga eti Tanzania inaongoza kwa uwingi wa uranium. Haelewi hata tofauti ya proved, indicated na proble reserves. Anasema eti Tanzania ina reserve ya tani laki 8! Huo ni uwongo mkubwa. Hiyo yaweza kuwa ni probable reserve, lakini siyo proved wala indicated reserve. Indicated resource ya uranium ya Tanzania haifiki hata laki 1. Angalia hapa chini:
Here's a breakdown of the top African countries by uranium reserves (in tonnes):
Uwongo mwingine wa wazi anasema kuwa eti kuna mataifa ya nje yanahamasisha vurugu nchini Tanzania ili nchi ikose umoja, ili waje wachukue uranium yetu!! Huu ni uwongo mkubwa uliochanganyika na ujinga wa ajabu. Huyu mtu amekuwa mmbeya na mropokaji wa mambo ya uwongo. Kwanza ukweli ni kuwa nchi mbalimbali za Afrika ndiyo zenyewe zimekuwa zinahangaika sana kuwatafuta hao wawekezaji toka Ulaya na America, na kuna wakati wanafanya kuwabembeleza kwa vivutio mbalimbali. Na kuna makampuni ya huko huwa hawataki kabisa kuwekeza Afrika kwa kudai kuwa serikali za Afrika haziheshimu mikataba, zinaendekeza rushwa, na hazina mahakama. Tuna miradi kama Kabanga nickel, Liganga iron ore, Mchuchuma coal, ni miaka mingi, wanahangaika kuyatafuta makampuni ya kuchimba, hayapatikani. Makampuni kama Barrick kuja Tanzania ilihitaji kuwabembeleza sana, mpaka kumtumia Andrew Young, lakini mwanzoni walisema kamapuni yao haina sera ya kuwekeza Afrika, wakatoa sababu.
Makampuni ya wazungu, kwanza huwa hawataki kuwekeza maeneo yenye vita, migogoro na vurugu, halafu huyu anawadanganya watu kuwa eti wazungu wanataka vurugu ili waje wachimbe uranium!! Muoneni alivyo mwongo.
Kwanza Uranium ipo katika nchi nyingi sana, huyu mwongo anawadanganya watu kama vile ipo Tanzania pekee. Kwanza Uranium soko lake ni dogo sana ukilinganisha na madini kama dhahabu, chuma au nickel.
Wanateka na kuua watu, wanadhulumu chaguzi, wanaua watu wanaopinga dhuluma, halafu wanasema eti wanaosababisha ni wazungu!! Uwendawazimu mkubwa! Ni lini mzungu alikuja kuteka na kuwaua watanzania? Ni lini mzungu alikuja kudhulumu chaguzi na kutengeneza tume bandia za uchaguzi? Kuna mzungu gani aliyeua watu waliokuwa wakipinga dhuluma za uchaguzi na utekaji Oct 29?
Kwa huyu, kwa kweli wamezidi kuharibu kabisa. Huyu ni mtu wa kuharibu zaidi kuliko kurekebisha. Ni aheri hata Biteko anaonekana kuwa na busara kuliko huyu mtu. Huyu atazidi kuchochea na kuharibu zaidi.

- Namibia: ~470,100 - 497,900 tonnes (Africa's largest, significant global contributor).
- South Africa: ~320,900 - 447,700 tonnes (Major African producer).
- Niger: ~311,000 - 336,000 tonnes (Key producer and resource holder).
- Botswana: ~87,200 tonnes (Significant reserves).
- Tanzania: ~58,200 tonnes (Significant resource).
- Zambia: ~31,000 - 44,500 tonnes.
- Zimbabwe: ~13,300 tonnes.
- Malawi: ~11,300 tonnes.
- DRC: ~9,200 tonnes.