Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Waafrika wanaoishabikia urusi hudai kuwa haikuwa kuwa na makoloni afrika kama mabeberu. Wasichojua ni kwamba urusi ilikuwa na makoloni makubwa sana huko Asia na bado inayamiliki hadi leo pamoja na kuwa Afrika yote leo iko huru.
Kwa mfano mpaka leo Siberia ni koloni la urusi pamoja na kuwa na bunge lao na sarafu yao (Siberian Rouble) na wanajulikana ka Republic of Siberia lakini bado wanamilikiwa na urusi kama koloni.
View: https://www.youtube.com/watch?v=4gMrVgIf120