Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine.

Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi wakati kesi yake ikiendelea, yupo nyumbani na hatakiwi kutoka, kuwasiliana kwa kutumia simu na kutumia mitandao.

Olesya ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Northern Federal kilichopo Arkhangelsk, aliweka maudhui hayo Oktoba 2022, amesema ameongezwa katika orodha ya magaidi na watu wenye msimamo mkali dhidi ya Serikali ya Urusi.

=========

Ukraine war: The Russian student under arrest for an Instagram story

University student Olesya Krivtsova has been missing a lot of classes.

That's because 20-year-old Olesya is under house arrest. She has an electronic tag on her leg. Police can monitor her every move.

Her alleged crime? Olesya was arrested for anti-war posts on social media. One of them concerned last October's explosion on the bridge linking Russia to annexed Crimea.

"I posted an Instagram story about the bridge," Olesya tells the BBC, "reflecting on how Ukrainians were happy with what had happened."

She had also shared a friend's post about the war.

"I I never imagined anyone could get such a long prison sentence for posting something on the internet," Olesya says. "I'd seen reports of crazy verdicts in Russia, but I hadn't paid much attention and continued to speak out."

A student of the Northern Federal University in Arkhangelsk, Olesya has now been added to Russia's official list of terrorists and extremists.

"When I realised I'd been put on the same list as school shooters and the Islamic State group I thought it was crazy," recalls Olesya.

Under the rules of her house arrest she's banned from talking on the phone and going online.

Olesya has a striking image tattooed on her right leg - Russian President Vladimir Putin depicted as a spider, with an Orwellian inscription: "Big Brother is watching you."

It appears that in Olesya's case, it wasn't Big Brother watching her, but her fellow students

"A friend showed me a post about me in a chat," Olesya says, "about how I was against the 'special military operation'. Most of the people in this chat were history students. They were discussing whether to denounce me to the authorities."

The BBC has seen extracts from the group chat.

In one comment, Olesya is accused of writing "provocative posts of a defeatist and extremist character. This is out of place for war-time. It must be nipped in the bud".

"First let's try to discredit her. If she doesn't get it, let the security services deal with it."

"Denunciation is the duty of a patriot," someone else writes.
Later, when the list of prosecution witnesses was read out in court, Olesya recognised the names from the student chat.

It's one year since the Kremlin launched its "special military operation" in Ukraine - the term it uses for Russia's full-scale invasion of its neighbour. Within weeks of the assault, President Putin was calling on the Russian public to separate "true patriots from scum and traitors".

Source: BBC
 
+++++++++

SourceSourjl

Source :BBC:
 
Sidhdni kama kuna ubaya kiwafunga raia wajinga wajinga wasiojua hata kunusa harufu za maadui zao
 
Nchi ambazo mambo yake huwa magumu huwa hawataki kusikia ubaya wao, ukiwakosoa au kuwaongea vibaya unaweza uawa, inabidi raia wa Russia waimbe mapambio ya kusifu tu.
 
Haya maneno hayatafanya huyo bwana atolewe rumande

Akipinga atanyongwa ili afurahie zaidi nazaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ambazo mambo yake huwa magumu huwa hawataki kusikia ubaya wao, ukiwakosoa au kuwaongea vibaya unaweza uawa, inabidi raia wa Russia waimbe mapambio ya kusifu tu.
Hivi nini kinachomkuta Juliani Asange?Alitoa Siri za uhalifu wa kivita wa US troops huko Afghan!Anakabaliwa na mashtaka huko US ambapo anaweza kwenda jela maisha!
 
Ndo unailinganisha na alichoandika huyo mwanafunzi histogram? Ujinga ni kipaji.
 
Tofauti?Hapo si tunazingumzia freedom of speech!
Tatizo mmejazwa upumbavu wa west!
Nchi Iko vitani,Kuna baadhi ya mambo lazima yabadilike!
Hata wakati wa vita ya TZ na kagera,Kuna watu waliswekwa!Kuna mtangazaji alisema JWTZ wanateketea,uliza kilichomkuta!
 
Mnapenda kutoleana maneno ya hovyo

Au kisa jamaa kasema ukweli ambao hamutaki kuusikiaa

Tunaongeza ndio maana edward snowden akapewa URAIA wa RUSSIA kwasababu kama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti?Hapo si tunazingumzia freedom of speech!
Tatizo mmejazwa upumbavu wa west!
Nchi Iko vitani,Kuna baadhi ya mambo lazima yabadilike!
Hata wakati wa vita ya TZ na kagera,Kuna watu waliswekwa!Kuna mtangazaji alisema JWTZ wanateketea,uliza kilichomkuta!
Shida yako inakuja hapo...mtu akichange post yako unakimbilia u-west, acha kuwa na akili ya kijamaa namna hiyo. Sasa west ndo imegundua vitu vilivyokusaidia kutambua mambo mengi alafu unasema wamearibu akili yangu.

Soma na uelewe content ya huyo mwanafunzi siyo kuleta mambo ya miemko...nyie ndo wanaosifu ubumbavu wa viongozi wangali madarakani then wakiondoka mnaanza kuwananga si ujinga huo.
 
Mnapenda kutoleana maneno ya hovyo

Au kisa jamaa kasema ukweli ambao hamutaki kuusikiaa

Tunaongeza ndio maana edward snowden akapewa URAIA wa RUSSIA kwasababu kama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wangapi wanapewa URAIA kutoka nchi moja kwenda nyingine? Ulichoandika inawakilisha ujinga wako.
 
Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine.

Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi wakati kesi yake ikiendelea, yupo nyumbani na hatakiwi kutoka, kuwasiliana kwa kutumia simu na kutumia mitandao.

Olesya ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Northern Federal kilichopo Arkhangelsk, aliweka maudhui hayo Oktoba 2022, amesema ameongezwa katika orodha ya magaidi na watu wenye msimamo mkali dhidi ya Serikali ya Urusi.

=========

Ukraine war: The Russian student under arrest for an Instagram story

University student Olesya Krivtsova has been missing a lot of classes.

That's because 20-year-old Olesya is under house arrest. She has an electronic tag on her leg. Police can monitor her every move.

Her alleged crime? Olesya was arrested for anti-war posts on social media. One of them concerned last October's explosion on the bridge linking Russia to annexed Crimea.

"I posted an Instagram story about the bridge," Olesya tells the BBC, "reflecting on how Ukrainians were happy with what had happened."

She had also shared a friend's post about the war.

"I I never imagined anyone could get such a long prison sentence for posting something on the internet," Olesya says. "I'd seen reports of crazy verdicts in Russia, but I hadn't paid much attention and continued to speak out."

A student of the Northern Federal University in Arkhangelsk, Olesya has now been added to Russia's official list of terrorists and extremists.

"When I realised I'd been put on the same list as school shooters and the Islamic State group I thought it was crazy," recalls Olesya.

Under the rules of her house arrest she's banned from talking on the phone and going online.

Olesya has a striking image tattooed on her right leg - Russian President Vladimir Putin depicted as a spider, with an Orwellian inscription: "Big Brother is watching you."

It appears that in Olesya's case, it wasn't Big Brother watching her, but her fellow students

"A friend showed me a post about me in a chat," Olesya says, "about how I was against the 'special military operation'. Most of the people in this chat were history students. They were discussing whether to denounce me to the authorities."

The BBC has seen extracts from the group chat.

In one comment, Olesya is accused of writing "provocative posts of a defeatist and extremist character. This is out of place for war-time. It must be nipped in the bud".

"First let's try to discredit her. If she doesn't get it, let the security services deal with it."

"Denunciation is the duty of a patriot," someone else writes.
Later, when the list of prosecution witnesses was read out in court, Olesya recognised the names from the student chat.

It's one year since the Kremlin launched its "special military operation" in Ukraine - the term it uses for Russia's full-scale invasion of its neighbour. Within weeks of the assault, President Putin was calling on the Russian public to separate "true patriots from scum and traitors".

Source: BBC
Wako sahihi
 
Shida yako inakuja hapo...mtu akichange post yako unakimbilia u-west, acha kuwa na akili ya kijamaa namna hiyo. Sasa west ndo imegundua vitu vilivyokusaidia kutambua mambo mengi alafu unasema wamearibu akili yangu.

Soma na uelewe content ya huyo mwanafunzi siyo kuleta mambo ya miemko...nyie ndo wanaosifu ubumbavu wa viongozi wangali madarakani then wakiondoka mnaanza kuwananga si ujinga huo.
Kila nchi Ina utaratibu wake,msilazimishe mambo ya west ndio iwe uwe utaratibu Dunia nzima!Umeshindwa kuendana na utaratibu wa nchi nenda huko panakokufaa!Wengine ndio wanatumika na mataifa mengine kuanzisha chokochoko za ghasia!
Russia Iko vitani,na Kuna sheria zimepitishwa ndio maana mahakama itaamua kama amekiuka sheria au la!
Huo ndio utaratibu waliojiwekea,full stop!
 
Sasa wangapi wanapewa URAIA kutoka nchi moja kwenda nyingine? Ulichoandika inawakilisha ujinga wako.
Kupewa URAIA sio sababu ila sababu ipi ilisababisha kupewa URAIA hii ndio sababu

Kwanini USA waligoma jamaa kupewa URAIA ila hawakugoma kwa RAIA wengine ila Snow !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom