Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

Si tuliambiwa Instagram Twitter, Facebook na Google zimejitoa Urusi sasa imekuwaje tena?
 
Kila nchi Ina utaratibu wake,msilazimishe mambo ya west ndio iwe uwe utaratibu Dunia nzima!Umeshindwa kuendana na utaratibu wa nchi nenda huko panakokufaa!Wengine ndio wanatumika na mataifa mengine kuanzisha chokochoko za ghasia!
Russia Iko vitani,na Kuna sheria zimepitishwa ndio maana mahakama itaamua kama amekiuka sheria au la!
Huo ndio utaratibu waliojiwekea,full stop!
Solutely true,, amekiuka, sheria ifate mkondo wake. Over.
 
[emoji848] we itakuwa soldier.
Hapana BOSS ila kuna mambo yapo wazi sana hata kama hatuyapendi lazma tuseme

Katika hali iliopo nchi husika wakati kama huu lazma uangalie unasema nn nakwanini labda uwe umekubali lolote na liwe

Leo uende ukawatetee BOKO HARAM kwa wanachokifanya pale NIGERIA basi inatakiwa upewe adhabu kali sana ikibidi KUFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom