Urusi: Hatarini kufungwa miaka 10 jela kwa kuposti kuhusu vita Instagram

Si tuliambiwa Instagram Twitter, Facebook na Google zimejitoa Urusi sasa imekuwaje tena?
 
Solutely true,, amekiuka, sheria ifate mkondo wake. Over.
 
[emoji848] we itakuwa soldier.
Hapana BOSS ila kuna mambo yapo wazi sana hata kama hatuyapendi lazma tuseme

Katika hali iliopo nchi husika wakati kama huu lazma uangalie unasema nn nakwanini labda uwe umekubali lolote na liwe

Leo uende ukawatetee BOKO HARAM kwa wanachokifanya pale NIGERIA basi inatakiwa upewe adhabu kali sana ikibidi KUFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…