Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
Kama amekiachia mbona marekani anakoroma?tumia Akili hicho bado kipo Chini ya warusi milele
 
Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
Mbona analalamika kuwa warusi wasiibe technologia yake ya nuclear?aandike ameumia Kwa Sababu hicho kituo kitakuwa cha warusi milele.
 
Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
Urusi Hana shida ya maeneo ila Kwa kireherehe cha Ukraine ameamua kuchukua Maeneo yake alafu unaita Marekani nchi iliyostaarabika nakuona huna Akili
 
Putin ana sababu ngapi za kuivamia Ukraine?
Kila siku mnakuja na sababu mpya! Zitafika milioni
Nina uhakika putin hiko ndicho alichokitaka, kubeba hiko kiwanda.
 
Kimsingi Marekani walijua kuwa uwenda Urusi itakuja kuivamia Ukraine ila walihisi pia Urusi itahofia kuivamia Ukraine cos bado hajawa sawa kiuchumi! mwaka 2014 baada ya Urusi kuichukua Ukraine, Maekani aliimbia Urusi kuwa endapo wataivamia Ukraine kijeshi basi mradi wa Nord Stream 2 utafikia mwisho! hapa naamini walikuwa wanahisi japo waliamini vitisho vya vitaweza kumfanya Urusi agope.
Lakini risk ya nordstreem ni bora kuliko nuclear plant hii ni big risk kwa U.S.A
 
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki


Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology

Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?

Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?

Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani

Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?

View attachment 2593057
Kama hujui long time warusi walisha jimilikisha na tayari kimeunganishwa kwenye grid ya umeme ya Urusi kikihakikisha maeneo manne yaliyo jiunga na Urusi yanapata umeme.
 
Kama hujui long time warusi walisha jimilikisha na tayari kimeunganishwa kwenye grid ya umeme ya Urusi kikihakikisha maeneo manne yaliyo jiunga na Urusi yanapata umeme.
Issue sio ile nuclear premises....issue ni technology iliopo mle ndio maana wamecourt neno America nuclear technology .....
 
Main character ni kuhofia usalama wa urusi baada ya magharibi kuongeza military activities jirani na urusi
Kabla na baada ya uvamizi ni kipindi gani military activities zimeongezeka zaidi Ukraine?
 
Back
Top Bottom