Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine
Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake
Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki
Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology
Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?
Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?
Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...
Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse
Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani
Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?
View attachment 2593057