Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
Kama amekiachia mbona marekani anakoroma?tumia Akili hicho bado kipo Chini ya warusi milele
 
Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
Mbona analalamika kuwa warusi wasiibe technologia yake ya nuclear?aandike ameumia Kwa Sababu hicho kituo kitakuwa cha warusi milele.
 
Nini maana ya milele? Marekani anakoroma kwa uvamizi mzima wa Ukraine. Hii ndoto ya Putin unayoizungumzia hapa ndio inayopingwa na nchi zote zilizostaarabika duniani. Mipaka ya kila nchi lazima iheshimiwe.
Urusi Hana shida ya maeneo ila Kwa kireherehe cha Ukraine ameamua kuchukua Maeneo yake alafu unaita Marekani nchi iliyostaarabika nakuona huna Akili
 
Putin ana sababu ngapi za kuivamia Ukraine?
Kila siku mnakuja na sababu mpya! Zitafika milioni
Nina uhakika putin hiko ndicho alichokitaka, kubeba hiko kiwanda.
 
Lakini risk ya nordstreem ni bora kuliko nuclear plant hii ni big risk kwa U.S.A
 
Kama hujui long time warusi walisha jimilikisha na tayari kimeunganishwa kwenye grid ya umeme ya Urusi kikihakikisha maeneo manne yaliyo jiunga na Urusi yanapata umeme.
 
Kama hujui long time warusi walisha jimilikisha na tayari kimeunganishwa kwenye grid ya umeme ya Urusi kikihakikisha maeneo manne yaliyo jiunga na Urusi yanapata umeme.
Issue sio ile nuclear premises....issue ni technology iliopo mle ndio maana wamecourt neno America nuclear technology .....
 
Main character ni kuhofia usalama wa urusi baada ya magharibi kuongeza military activities jirani na urusi
Kabla na baada ya uvamizi ni kipindi gani military activities zimeongezeka zaidi Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…