Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Mimi naona sababu ni ileile, ila kuimaliza hiyo basi target ya kwanza (mavuno yaliyonona) ni hiko kiwanda.
Kama tu vile ambavyo mpwa wake Marekani (Israeli) hataki Iran iwe na vinu vya ^knew-clear^ kungani mwake.
 
Bado pia hakuwa anajua kama Urusi anaweza kufikia pale alipo leo! kiufupi tuseme Interejensia ya Marekani nayo haiku perform vizuri
Unaweza kuwa na intelijensia, ila kama huna nguvu ya kutimiza malengo yako na kumzuia adui, maarifa hayo ni kazi bure.
 
Wagner wanajiondoa kwenye vita huko Bakhmut wameshindwa vita., sasa utajua kama sijui ni sahihi au si sahihi mtu anakula adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…