Urusi imeanza harakati za kulinyanyua Bara la Afrika

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
45,678
Reaction score
63,304
Katika harakati za kuhakikisha Russia inarejesha nguvu za ushawishi Africa na kujenga mahusiano imara baina ya Taifa Hilo na nchi zilizopo Africa, Russia imeanza taratibu za kujenga vinu vya nyukilia nchini Misri.

Hii ni habari njema sana Kwa mataifa ya Africa na litazidi kupanua wigo Moana wa ushirikiano baina ya Russia na nchi za Africa na Kwa namna Moja au nyingine, sioni kama baada ya miaka 10 mataifa ya west yataendelea kubaki na nguvu Ile waliyo kuwa nayo miongo kadhaa na karne zilizopita , Bila shaka tunapo elekea Africa itakwenda kuwa tishio na yenye kuogopwa.

Asante sana Russia ume tuheshimisha hili lisiishie Egypt tu liwe ni funzo Kwa viongozi wa mataifa mengine ya Africa na wao waige hicho kinacho fanyika misri ukiwa imara Kwa nguvu za kijeshi ndio utaweza kuwa salama ktk huu ulimwengu, usalama wetu Africa na ukuaji wa uchumi wetu Utapaa Endapo tu kama tutakuwa na Nguvu kubwa zakijeshi.

Team NATO / Pro USA mpooooo
Russia amewashika pabaya sana [emoji28]
Taifa lisilo na nguvu ya kiuchumi Lina pigana vita likiwa limewekewa vikwazo zaidi ya 2000 halafu wakati huo huo taifa Hilo Hilo linaendelea kufanya project kubwa za kutisha zinazo hitaji budget kubwa ya pesa kama hizi , wonders shall never ends[emoji28][emoji28][emoji28] tuli danganywa Sana, mind you Misri walikuwa ni washirika wakubwa wa USA ,lakini USA walivyo wanafiki hawajawahi kuwafanya hiki anacho wafanyia Russia, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Screenshot_20220721-032827.jpg
 
Ulivyoandika utafikiri hiyo project imeanza baada ya vita, hiyo project ilishakuwepo hata kabla ya vita kuanza, halaf kwa africa umeme wa nuclear hata S.A anao hivyo sio kitu ajabu saaaana. Na hiyo project sio msaada ni kandarasi kampuni ya russia imepewa so hakuna habari ya kusema kuwa russia imeanza kulinyanyua bara la africa, so tuseme na elsewedy arab contractors wanavyojenga bwawa la umeme kwa kulipwa Misri imeanza inyanyua Tanzania? au tuseme wachina waturuki wanavyojenga reli wanainyanyua Tanzania?
 
Povu lipo la kutosha kufulia nguo [emoji2]
 
Usitingishike sindano itavunjikia ndani
 
Pole sana una teseka ukiwa wapi ndugu muandishi muandamizi !?
 
Back
Top Bottom