Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ?
Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua viongozi wengi Ukraine katika vita vyake huko Ukraine ?
Japo sio swali la muhimu sana lakini kuna haja ya kujifunza japo sheria nyingi za kimataifa na za kivita zina kiukwa na kuvunjwa na mataifa mababe duniani lakini Je, sheria za kimataifa zinasema nini kuhusu kuua viongozi wa nchi ?