Urusi imeshindwa kuua viongozi wa kutosha wa Ukraine. Je, ni udhaifu wa jeshi la Urusi

Urusi imeshindwa kuua viongozi wa kutosha wa Ukraine. Je, ni udhaifu wa jeshi la Urusi

Sheria za kimataifa haziruhusu uuaji wa viongozi.

Pia lazima mkuu uitofautishe Urusi na hao nguruwe wawili. Urusi ni mtu anayeenda na strategy sio sawa na hao wawili.

Urusi ina uwezo wa kumteka Zelensky na kumuingiza Moscow bila utata. Ila dhumuni la mashambulizi ya Kremlin kwa Ukraine ni tofauti na hilo.

Hata hivyo ishaonekana hakuna manufaa kwa kuua kiongozi.
Urusi ipi hiyo mnayoizungumzia au ni hii ninayo ifahamu ambayo huwauwa kwa sumu kali wapinzani wa watawala
 
Nani kakudanganya kuwa walishindwa kujua mateka walipo?

Walitambua mtandao wote wa mahandaki na mashimo, wakapanga kujaza humo gesi ya sumu, moto au maji ya bahari ili kuteketeza magaidi humo ndani, ndugu wa mateka wakaandamana kupinga maana ndugu zao wangeangamia pamoja na watekaji
Wacha kuropoka wewe.
Mateka hawakuwepo kwenye bunker za Gaza. UNLESS HUFUATILII HABARI.
Kama wangekua wanajua walipo mateka wasingekubali negotiations za kuachia wafungwa elfu 2 kwa mateka kidogo.

Achana na hilo,Mwanajeshi wao 2005 alifichwa akaja kuachiliwa 2021 kachoka hajiwezi kwa mamia ya wafungwa wa kipalestina.
Embu wape hiyo kazi intelijensia ya Urusi uone.
 
Kuua viongozi ni ufisi, ingia ndani kama Russia alivyochukua 1/3 ya Ukraine

1773862408647.png
 
Sio sera ya Urusi kuua Viongozi wa nchi nyingine.
Hata vita hii ya Ukrainian lengo la Urusi sio Regime change Bali ni

No NATO membership for ukraine

De militarization of Ukraine
Na
De nazififation of Ukraine.

Na hayo yamefanikiwa.
Eti sio Sera,nchi inayoua wapinzani wake wa ndani wakisiasa kwa sumu tena wanaolindwa kwa katiba ya nchi ndio unasema wanatii sheria za kimataifa.
 
Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ?

Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua viongozi wengi Ukraine katika vita vyake huko Ukraine ?

Japo sio swali la muhimu sana lakini kuna haja ya kujifunza japo sheria nyingi za kimataifa na za kivita zina kiukwa na kuvunjwa na mataifa mababe duniani lakini Je, sheria za kimataifa zinasema nini kuhusu kuua viongozi wa nchi ?
Kuua viongozi haisadii chochote katika kushinda vita, kiongozi akifa anachguliwa mwengine.
 
Sheria za kimataifa haziruhusu uuaji wa viongozi.

Pia lazima mkuu uitofautishe Urusi na hao nguruwe wawili. Urusi ni mtu anayeenda na strategy sio sawa na hao wawili.

Urusi ina uwezo wa kumteka Zelensky na kumuingiza Moscow bila utata. Ila dhumuni la mashambulizi ya Kremlin kwa Ukraine ni tofauti na hilo.

Hata hivyo ishaonekana hakuna manufaa kwa kuua kiongozi.
Urusi angekuwa na uwezo wa kumteka zelensky wangesha moata muda sana.

Mara kibao wamefanya hizo attempt even walijaribu assasination but haikuwezekana

So bro urusi si ile ya zamani anymore. And as tokea vita ianze urusi doesnt follow geneva convetion
 
Kuua viongozi haisadii chochote katika kushinda vita, kiongozi akifa anachguliwa mwengine.
Basi hujui impact ya kiongoz katika vita. Haswa ambae ni key katika operesheni.

Hawa huwa wanatafutwa maana wakiondoka huku chulini panayumba
 
Sio Ai Tena mkuu ?
Usiendelee kulala.. shtuka mkuu

Hawa wayahudi ni wahuni tu, lkn kiuhalisia ni binadam kama wewe na wanaweza kufa kama vile wanavyokufa binadam wengine. Japo wao wameshaona kuna kundi la wajinga linaloamini kuwa wao ni watu special hivyo ni lazima wawatengenezee hao wajinga mazingira ya kuonesha kuwa wao hawawezi kufa kama tunavyokufa mimi na wewe.

Ila ukweli ni kwamba wakijaa kwenye mfumo wanabutuliwa tu kama kawaida na maisha yanaendelea.

Wasomi zaidi yako hao hapo pichani 👇 wanaamua kufunguka baada ya kuchoshwa na maigizo yasiokuwa na tija yoyote kwa dunia ya leo. Na sio huyo dogo, kuna wasomi wengi tu wenye kujua vizuri dunia na uhalisia wanakwambia Netanyahu ashapotezwa kitambo kupitisha shambulio la Iran.
img_1_1773929837362.jpg
 
Basi hujui impact ya kiongoz katika vita. Haswa ambae ni key katika Hawa huwa wanatafutwa maana wakiondoka huku chulini panayumba
Wewe unaleta mambo ya zamani "kamata kubwa yao' Irani pamoja na kupoteza viongozi kadhaa lakini mbona bado hawajatetereka hiyo nadharia naona kama haifanyinkazi kwa Waajemi.
 
Wewe unaleta mambo ya zamani "kamata kubwa yao' Irani pamoja na kupoteza viongozi kadhaa lakini mbona bado hawajatetereka hiyo nadharia naona kama haifanyinkazi kwa Waajemi.
Kila nchi ina mifumo tofauti, mfumo wa iran si wa russia si wa nchi zingine

Nini kimetokea venezuela althoguht ai vita?
Wamemchukua head wa nchi, aliefuata ni toothless
Kampuni za marekani zimeanza kuchota mafuta

Do you think leo putin akiwa removed vita itaendelea!?
 
Kwa nchi nyengine sijui, ila Waajemi wao wamtuthibitishia kuua viongozi wao haiwaathiri chochote. Tofauti na Wazayuni Netanyau amefariki toka tarehe nane march Waficha na kudandanganya dunia kwa AI video, nadhani wanahofia wakitangaza ukweli kua Netanyau ameuwawa kwa shambulio la Iran jeshi lao litapoteza morali.
 
Unasema nyetanyahu kafariki ukiambiwaudhibitishe utaweza?

Mtu kahutubia majuzi hapa? Hizo story huwa mnatoa wapi?

Iran si kwamba hapati ahida kwa viongoz wake kuondolewa, kuna power struggles ,kuna slow decision making inaendela

Is not about ku replace kiongoz is about kupata replacement sahihi. And tusidanganyane ndani ya muda mfupi haiwezekani
 
Back
Top Bottom