Watuoneshe kwanza Netanyahu wa ukweli yuko wapi? Huyu jamaa alievaa mask hatumtaki maana inamchoresha. Mpaka watoto wadogo wameshtukia kama ile ni mask ya mchongoJe, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ?
Faida zipi Israel na Marekani wanapata kwa kuua viongozi wa Iran katika vita vyao ambazo Urusi ana zikosa kwa kutoua viongozi wengi Ukraine katika vita vyake huko Ukraine ?
Japo sio swali la muhimu sana lakini kuna haja ya kujifunza japo sheria nyingi za kimataifa na za kivita zina kiukwa na kuvunjwa na mataifa mababe duniani lakini Je, sheria za kimataifa zinasema nini kuhusu kuua viongozi wa nchi ?
Vita ilianza kama operation maalum ya kijeshi ya muda mfupi, huu ni mwaka wa 4 bado inarindima tu, unafikiri Putin anapenda? Hiyo maana yake ni maji yamezidi unga..Je, Urusi kushindwa kuua viongozi wa nchi ya Ukraine wa kutosha kama wafanyavyo Israel na Marekani sasa kwa Iran ni udhaifu wa idara za ulinzi na usalama wa nchi ya Urusi ?
Ila kuua upinzani wake ni sawaSio sera ya Urusi kuua Viongozi wa nchi nyingine.
Hata vita hii ya Ukrainian lengo la Urusi sio Regime change Bali ni
No NATO membership for ukraine
De militarization of Ukraine
Na
De nazififation of Ukraine.
Na hayo yamefanikiwa.
Stop lying you jihadist.Sio sera ya Urusi kuua Viongozi wa nchi nyingine.
Hata vita hii ya Ukrainian lengo la Urusi sio Regime change Bali ni
No NATO membership for ukraine
De militarization of Ukraine
Na
De nazififation of Ukraine.
Na hayo yamefanikiwa.
Urusi Haiwezi kumteka ZelensikySheria za kimataifa haziruhusu uuaji wa viongozi.
Pia lazima mkuu uitofautishe Urusi na hao nguruwe wawili. Urusi ni mtu anayeenda na strategy sio sawa na hao wawili.
Urusi ina uwezo wa kumteka Zelensky na kumuingiza Moscow bila utata. Ila dhumuni la mashambulizi ya Kremlin kwa Ukraine ni tofauti na hilo.
Hata hivyo ishaonekana hakuna manufaa kwa kuua kiongozi.
Kama yamefanikiwa kwa nini vita inaendelea?Sio sera ya Urusi kuua Viongozi wa nchi nyingine.
Hata vita hii ya Ukrainian lengo la Urusi sio Regime change Bali ni
No NATO membership for ukraine
De militarization of Ukraine
Na
De nazififation of Ukraine.
Na hayo yamefanikiwa.
Sio Ai Tena mkuu ?Watuoneshe kwanza Netanyahu wa ukweli yuko wapi? Huyu jamaa alievaa mask hatumtaki maana inamchoresha. Mpaka watoto wadogo wameshtukia kama ile ni mask ya mchongo
Kama Urusi iliweza kuwa track wanamgambo wa Hizbollah walipofanya atrocity na kupata family members wao sembuse Zelensky??Urusi Haiwezi kumteka Zelensiky
-Malengo ya Urusi ilikua kumzuia Ukraine kujiunga na Nato,je Ukraine amejiunga!?Kama yamefanikiwa kwa nini vita inaendelea?
Kama hayo ndio malengo kwa nini imepora ardhi ya Ukraine?
Urusi hana uwezo huo.Sheria za kimataifa haziruhusu uuaji wa viongozi.
Pia lazima mkuu uitofautishe Urusi na hao nguruwe wawili. Urusi ni mtu anayeenda na strategy sio sawa na hao wawili.
Urusi ina uwezo wa kumteka Zelensky na kumuingiza Moscow bila utata. Ila dhumuni la mashambulizi ya Kremlin kwa Ukraine ni tofauti na hilo.
Hata hivyo ishaonekana hakuna manufaa kwa kuua kiongozi.
KGB ni kitengo kikubwa cha kijasusi kuliko chochote kile.Urusi hana uwezo huo.
Kwa sasa hakuna chombo nchini Russia kinachoitwa KGB, wewe inaonekana ni wale watu wa kukariri mambo kama mbwa 🐶 wa polisi.Kama Urusi iliweza kuwa track wanamgambo wa Hizbollah walipofanya atrocity na kupata family members wao sembuse Zelensky??
Huwajui KGB wewe.
Hao sio CIA au Mossad wanaoshindwa kujua mateka wako wapo hapo Gaza.
Nani kakudanganya kuwa walishindwa kujua mateka walipo?Hao sio CIA au Mossad wanaoshindwa kujua mateka wako wapo hapo Gaza.
KGB ilishakufaga na USSR saiv wana SVR na FSB lakin bado wako vizuriKGB ni kitengo kikubwa cha kijasusi kuliko chochote kile.
Huwenda hujui unachoongea.