Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi,

Vyombo vya usalama Urusi zimetoa picha na majina ya waliohusika na shambulio la kigaidi jana Usiku Moscow.
20240323_130407.jpg
 
Ndo maana kichapo watachezea waliowafadhili na wanajulikana ni NATO hasira zitaishia ukraine
Hapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
 
Back
Top Bottom