Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

Rais wa nchi wanayotoka anasema ni raia wa kawaida tu. Tena mwingine wanayemdhania ametoroka yuko nchini kwao huko uzbekstan anaendelea na shughuli zake za kilimo.
Tutasikia Mengi
Kwa maelezo ya jamaa aliekamatwa inaonekana nae ni muhanga wa mahubiri ya kigaidi

20240323_154949.jpg
 
Kibaya wakianza kuilipua Russia, hawaachi hata muwakamate wenzao series of bombing undergoes!, hata kuwatesa siyo issue kubwa kwao, alimradi watimize kiu ya nafsi yao!
 
Gaidi anatetemeka baada ya kugundua yupo mikononi mwa Alpha na Vympel ...watu wa Roho mbaya .

Guess Hawa jamaa, watakatwa katwa kipande kimoja baada ya kingine, wakiteswaa mpaka wanakufa, watakua wamejuta sana.

Kwa pamoja na Hilo, Kuna kichapo kitaikumba Ukraine siku zijazo mpaka wakumbuke ni kwann Warusi walishinda vita ya pili ya Dunia.
 
Kibaya wakianza kuilipua Russia, hawaachi hata muwakamate wenzao series of bombing undergoes!, hata kuwatesa siyo issue kubwa kwao, alimradi watimize kiu ya nafsi yao!
Wangepata wale wa uarabuni ila hawa wa nyumbani maeneo yaleyale ya mrusi wanalainishwa vizuri kabisa
 
Isis ni jina tu la kikundi ila kuna watu wa mataifa tofauti na anaowafadhili inasemekana ni israel na western countries
Uchunguzi wa awali wa FSB tayari wanadai walikuwa na mtu wanawasiliana nae kutoka Ukraine wakati wakitoroka,Ukraine kapinga, US hausiki ila nae kaingilia.IS kwenye hili sizani kama wanahusika.

View: https://m.youtube.com/watch?v=SFMBWYFLg4I
 
Jamaa hadi kaingiziwa hela kwenye akaunti yake, watajua tu hio pesa imetumwa kutoka kwa nani,,na jamaa amesema kabla ya tukio alikua uturuki.....ISIS inaeleweka inafanya kazi kwa matakwa ya upande upi
 
Hapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
Maana ya kushare ni kubadilishana taarifa Ila marekani zaidi ya kuongea hawakupa taarifa zozote.
 
Hapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
Russia na USA huko gizani ni marafiki kumbe 😂😂😂
 
Kama ujui bora unyamaze sio kubahatisha tu sasa hapo umetaja nchi zaidi ya sita huna uhakika hata moja russia wenyewe wametaja tajikistani lakini ww inimladi nchi iwe na waislamu wengi tu unataja.
Ndio ni asili ya urusi kwenye majimbo yenye waislamu wengi kama Chechnya, Dagestan, South na North Osetia na Ingushetia pia sehemu za Georgia kama Abkhazia Urusi iliyoannex.
 
Back
Top Bottom