Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kuna sehemu kule X nimeona wanasema jamaa walilipwa kufanya tukioHadi wanakamatwa ina maana hawataki kwenda kuzimu kula bikira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu kule X nimeona wanasema jamaa walilipwa kufanya tukioHadi wanakamatwa ina maana hawataki kwenda kuzimu kula bikira
Ila jamaa kukamatwa wakielekea Ukraine na wanasema walikua na mawasiliano na watu ambao wapo upande wa Ukraine itawapa shida, Ukraine na wafadhili wakeHapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
Jamaa wamesema hawataki investigation wala upuuz mwingine, wao sasa ukishikwa ni kupelekewa moto tu na wamesema wataziwinda hadi familia zao na wafadhili wao ,jamaa wanapeleka kifoWangu hata mimi napenda sana investigation. Nakumbuka hata Turkey walivyoshambuliwa na hawa umbwaa instanbul jinsi vyombo vya usalama walivyofanya kazi yao kwa weledi nilibaki kushangaa. Hadi kuwakamata.
Iyo kuelekea Ukraine labda walishaplan in advance escaping route wakidhani itafanikiwa.Ila jamaa kukamatwa wakielekea Ukraine na wanasema walikua na mawasiliano na watu ambao wapo upande wa Ukraine itawapa shida, Ukraine na wafadhili wake
Siyo mara ya kwanza Moscow au Russia kuvamiwa na magaidiMama.e ndio maana huwa wanasema Russia is not for beginners. Hivi unafanya tukio Moscow unategemea usikamatwe? Hawa jamaa ni kati ya watu wana intelijensia ya hali ya juu katika medani ya kivita.
Ninachojiuliza waliwezaje kusuka mpango wote mpaka kufikia kufanya hilo tukio bila hapa kati kuingiliwa. Lazima hawa nao wana mkono mrefu uliowawezesha kukamilisha ugaidi huo.
Yani hapa siku mbili hizi niko busy kufuatilia hilo pekee.Wangu hata mimi napenda sana investigation. Nakumbuka hata Turkey walivyoshambuliwa na hawa umbwaa instanbul jinsi vyombo vya usalama walivyofanya kazi yao kwa weledi nilibaki kushangaa. Hadi kuwakamata.
Hiyo ndo dawa ya Magaidi. Na ni wawili tu wanajuwa kudeal na hawa umbwaaa. Ni urusi na taifa teule.Jamaa wamesema hawataki investigation wala upuuz mwingine, wao sasa ukishikwa ni kupelekewa moto tu na wamesema wataziwinda hadi familia zao na wafadhili wao ,jamaa wanapeleka kifoView attachment 2942554
Sizani kwenye issue hii Russia watafikiria kama ufikiriavyo ww,kuna vitu vingi sana nyuma yake.Kwanza asili ya IS ni US kwani hata misaada alikuwa anaipa kwa ajili ya kumuondoa Assad Syria, kabla hawaja kitangaza kuwa kikundi cha kigaidi ila baadae Russia alifanikiwa kumbakisha Assad madarakani, pili vita na Ukraine mwezi huu pekee Russia ameangamiza askari wasio pungua 2500 Ukraine na kumbuka kwenye vita ya Ukraine kuna Mercenaries wengi kutokea EU na US,ambao wanafadhiliwa na hizi nchi husizani kama wamependa raia wao kuangamizwa.ISIS ipo Hadi msumbiji sembuse urusi
Nini kilifuata baada ya ugaidi?Siyo mara ya kwanza Moscow au Russia kuvamiwa na magaidi
Haya kwa mujibu wa FSB uchunguzi wa awali unaonyesha magaidi walikuwa wanawasiliana na watu toka Ukraine.ISIS ipo Hadi msumbiji sembuse urusi
Waislam ktk hili la Russia mnawasingizia,uchunguzi wa awali FSB unaonyesha magaidi walikuwa na mawasiliano na watu kutoka Ukraine.Nchi yeyote wakisha kuwepo waislam zaidi 30% lazima shida itokee ndo maana nchi za kiislam democracy haiwezi fanya kazi maana kiongozi wa nchi lazima awe ngangari mfano gadaffi au sadam ili nchi iiende ni uarabuni yote viongoz wao wako makini sana na vikundi vya hovyo na wanajua jinsi ya kudeal navyo kimya kimya
Waislam wana tabia ya kuunda vikundi mkitofautiana jambo tu dogo silaha mkononi kutoka na mafundisho ya dini yao
Nchi zao zinatawaliwa na mkono wa chuma bila hivyo ni fujo ...... hata hapa tanzania walianza mkono wa chuma ukapita pale kibiti na mapango ya amboni sasa hivi wapo huko msumbiji
Hawa watachezeshwa ngoma za kirusi mmoja baada ya mwengine.
Kuna mmoja kanaswa anaanza kutetemeka hata kufinywa hajaanza.
..Nchi yeyote wakisha kuwepo waislam zaidi 30% lazima shida itokee ndo maana nchi za kiislam democracy haiwezi fanya kazi maana kiongozi wa nchi lazima awe ngangari mfano gadaffi au sadam ili nchi iiende ni uarabuni yote viongoz wao wako makini sana na vikundi vya hovyo na wanajua jinsi ya kudeal navyo kimya kimya
Waislam wana tabia ya kuunda vikundi mkitofautiana jambo tu dogo silaha mkononi kutoka na mafundisho ya dini yao
Nchi zao zinatawaliwa na mkono wa chuma bila hivyo ni fujo ...... hata hapa tanzania walianza mkono wa chuma ukapita pale kibiti na mapango ya amboni sasa hivi wapo huko msumbiji
Rais wa nchi wanayotoka anasema ni raia wa kawaida tu. Tena mwingine wanayemdhania ametoroka yuko nchini kwao huko uzbekstan anaendelea na shughuli zake za kilimo.Hawa vijana huenda ni asili ya Caucasus. Chechnya, South na North Osetia, Dagestan ama Ingushetia. Ama former Soviet Tajikistan, Uzbekistan, Kyrgyzstan, Turkmenistan na Kazakhstan.