Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

Hawa vijana huenda ni asili ya Caucasus. Chechnya, South na North Osetia, Dagestan ama Ingushetia. Ama former Soviet Tajikistan, Uzbekistan, Kyrgyzstan, Turkmenistan na Kazakhstan.
 
Ndo maana kichapo watachezea waliowafadhili na wanajulikana ni NATO hasira zitaishia ukraine
Hapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…