ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huku bongo wangeitwa watu wasiojulikana. Hakika tumetofautiana kwenye medani za investigationYani hapa siku mbili hizi niko busy kufuatilia hilo pekee.
Uzuri Russia nao wananipa raha, mambo yanaenda kasi na kwa weledi.
Kwa maelezo ya jamaa aliekamatwa inaonekana nae ni muhanga wa mahubiri ya kigaidiRais wa nchi wanayotoka anasema ni raia wa kawaida tu. Tena mwingine wanayemdhania ametoroka yuko nchini kwao huko uzbekstan anaendelea na shughuli zake za kilimo.
Tutasikia Mengi
Kwamba unapenda mauaji?Haya ndio mambo ninayoyapenda.
Hao sio ISIS ni MAGAIDI wa Ukraine, walofunzwa na US CIA.Hadi wanakamatwa ina maana hawataki kwenda kuzimu kula bikira
Isis ni jina tu la kikundi ila kuna watu wa mataifa tofauti na anaowafadhili inasemekana ni israel na western countriesKuna watu wamekimbilia kusema IS,ila mpaka kuna dalili IS hausiki.
Wangepata wale wa uarabuni ila hawa wa nyumbani maeneo yaleyale ya mrusi wanalainishwa vizuri kabisaKibaya wakianza kuilipua Russia, hawaachi hata muwakamate wenzao series of bombing undergoes!, hata kuwatesa siyo issue kubwa kwao, alimradi watimize kiu ya nafsi yao!
Uchunguzi wa awali wa FSB tayari wanadai walikuwa na mtu wanawasiliana nae kutoka Ukraine wakati wakitoroka,Ukraine kapinga, US hausiki ila nae kaingilia.IS kwenye hili sizani kama wanahusika.Isis ni jina tu la kikundi ila kuna watu wa mataifa tofauti na anaowafadhili inasemekana ni israel na western countries
Hayo ni maelezo ya awali kabla ya maelezo ya chamber. Labda tutajifunza mengi siku zijazo.Kwa maelezo ya jamaa aliekamatwa inaonekana nae ni muhanga wa mahubiri ya kigaidi
View attachment 2942618First interrogation of Moscow terrorist attack suspect (VIDEO)
RTβs editor-in-chief has posted a video of the first interrogation of a suspect arrested over the Moscow concert-hall terrorist attackwww.rt.com
Jamaa hadi kaingiziwa hela kwenye akaunti yake, watajua tu hio pesa imetumwa kutoka kwa nani,,na jamaa amesema kabla ya tukio alikua uturuki.....ISIS inaeleweka inafanya kazi kwa matakwa ya upande upiUchunguzi wa awali wa FSB tayari wanadai walikuwa na mtu wanawasiliana nae kutoka Ukraine wakati wakitoroka,Ukraine kapinga, US hausiki ila nae kaingilia.IS kwenye hili sizani kama wanahusika.
View: https://m.youtube.com/watch?v=SFMBWYFLg4I
Maana ya kushare ni kubadilishana taarifa Ila marekani zaidi ya kuongea hawakupa taarifa zozote.Hapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
Russia na USA huko gizani ni marafiki kumbe πππHapana mkuu Marekani haijahusika. Ila CIA walipata tips ya intelejensia kutoka Afghanistan na kuwatonya FSB. Hata hivyo jumanne iliyopita marekani ikaendelea kumtahadharisha urusi. Lakini Putin akapuuzia nakusema provocative
Mkuu wametoka huko hukoSoviet Tajikistan, Uzbekistan, Kyrgyzstan, Turkmenistan na Kazakhstan.
Mzungu ni Mzungu tu. Huoni wametuma risala za rambirambi na pole kwa watu wa Russia lakini siyo utawala.Russia na USA huko gizani ni marafiki kumbe πππ
Ndio ni asili ya urusi kwenye majimbo yenye waislamu wengi kama Chechnya, Dagestan, South na North Osetia na Ingushetia pia sehemu za Georgia kama Abkhazia Urusi iliyoannex.
Taifa teule la mashogaHiyo ndo dawa ya Magaidi. Na ni wawili tu wanajuwa kudeal na hawa umbwaaa. Ni urusi na taifa teule.