Urusi imetoa picha na majina ya magaidi waliokamatwa baada ya tukio la jana moscow.

Ndio ni asili ya urusi kwenye majimbo yenye waislamu wengi kama Chechnya, Dagestan, South na North Osetia na Ingushetia pia sehemu za Georgia kama Abkhazia Urusi iliyoannex.
Kuna demu nilikutana naye anatokea sochi sintokuja kumsahau
 
Ndugu yangu ras simba kila siku anatangaza offer kujifunza kingereza ww hayo maelezo aliyotoa ungekuwa unajua lugha ungeelewa mauaji wala haya husiani na mafundisho ya dini ni tamaa tu ya pesa wameahidiwa pesa wamefanya tukio ww unatuambia muhanga wa mahubiri.
 
Rudi kashushe uharo tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…