shida sio serikali inayotaka kujitoa bali shida ni ana mkataba na kampuni ya kipoland so mboyoyo za Putin na Poland zisiingilie mkabata wa kampuni ya gas ya kipoland wao sio sehemu ya serikali wala hawajapewa zuio na serikali kusambaza gas polandHii imekaa powah sanaa , ajabu utaona wanaanza kulalamika kuwa Urusi kakosea, wakati wanataka kujitoa kutegemea gesi ya Urusi, Putin kawasaidia kujitoa kwa haraka
if the agreement requires payment to be made in USD then why US has frozen Russian USD reserves as one of the economic sanctions for Russia??Putin ni bogus, hakuna popote ambapo mkataba unaongelea hayo madafu yake for the terms of payment, tayari wamemwambia akaye na gesi yake kuna sources nyingi.
Kuanzia mwakani atatembeza hiyo gesi kama karanga.
Hii ni habari ya Buza, unafikiri warusi hawana kamera na setillati ya kuona nchi yao.Hata sasa hivi inapatikana bei ya kutupwa na wauza gesi za magendo wa kirusi huko deep sea
Ulaya itaingia tu kwa magendo ila vita ikiisha wataipaata kwa bei kama bure
Mzee mwenzangu unazeeka vibaya.Hata yesu aliambiwa anajiaibisha ni seremala mzuri hivo ajikite kwenye Ufundi Lakin akaendelea kuwapa somo haha sitafti heshima ila nasema kinachopaswa kujulikana kwenu vijana
Britanicca
Hawa warusi wa kibantu sijui wana akili za namna gani, wanadhani haya mataifa yamekurupuka kuweka sanctions kwa mrusi? Muda utaongea zaidi.Poland maisha yataendelea kawaida bila gas ya Urusi.View attachment 2202402
Mbona mkuu inasemekana Ujerumani alipunguza uingizwaji wa Gas ya mrusi hivi karibuni?Putin alichofanya hapa Ni kuwahi TU ili kuogopa fedheha au kuyagawa mataifa ya Ulaya (Divide and Rule)
IKO HIVI
Mkataba wa Poland kununua Gas Urusi unaisha Mwezi Octoba mwaka 2022. Poland imeweka wazi kuwa Baada ya mkataba kuisha haitanunua Gas kutoka Urusi,badala yake itaanza kufungua mabomba ya Gesi ya Kutoka Norway ambayo yalijengwa tangu mwa 2011. Mabomba hayo yalichelewa kufunguliwa kwasababu ya Gharama nafuu ya Gesi ya Urusi dhidi ya Gas ya Norway. Kwahiyo Kitakachobadilika Huko Poland Ni Gharama za Gasi TU na Wala sio kwamba Wataganda kwa kukosa Gasi Kama ninavyoona wengi wakishadidia.
Kuhusu Bulgaria. Hapa Kuna Kichekesho. Bulgaria inaitegemea Gas ya Urusi kwa 97%,Lakini Gasi hiyo inachangia 11% ya vyanzo Vya Nishati nchini Bulgaria. Kila mwaka,Bulgaria Inaagiza kiasi Cha Gasi Cha 111M m^3 kwa Mwaka. Meli kubwa na kubeba LNG inabeba kiasi Cha Gas Cha 260M m^3. Kwamaana hiyo,Bulgaria akipata Oil Tanker Moja ya LNG kutoka Marekani atatumia miaka 2 bila kuhitaji Gasi nyingine. Hapo Ni Bei TU itabadilika na Wala sio kukosekana kwa Gasi.
MAONI YANGU
Tangu tishio la Urusi kukata Gasi kuelekea Ulaya lianze,Mimi niliamua kufuatilia Umuhimu wa Gas ya Urusi barani Ulaya hasa Kiuchumi. Nimekuja Kugundua kwamba,Nchi ya Ujerumani ndio Mateka wa Urusi linapokuja kwenye suala la Gasi. Ujerumani inatumia kiasi kikubwa Cha Gasi kutoka Urusi kuendesha uchumi wake,na mbaya zaidi Hakuna mbadala wa Gasi hiyo. Kwa maana hiyo,Kama Urusi itakata Gasi yake kuelekea Ujerumani,basi hapo Uchumi wa Ujerumani utaingia RECESSION. Na Kwa kuwa Ujerumani ndio yenye Uchumi mkubwa barani Ulaya,Basi Ni wazi Ulaya nzima itayumba Kiuchumi.
Wewe subiri uje uone hii karata itakavyochezwa mkuu, US kuna kitu hapa atafanya endapo alishakipanga.Waliokatiwa Gasi wananunua kiasi Kidogo Sana Cha Gasi ya URUSI na hawana athari Kiuchumi kwa URUSI. Mfano,Bulgaria inatumia $ 50M kwa Mwaka kununua Gasi kutoka Russia. Poland inatumia $ 190M kununua Gasi kutoka Urusi kwa Mwaka. Baba lao Ni Ujerumani. Ujerumani inatumia $ 420M kila siku kununua Gasi ya Urusi. Hiki Ni kiasi kikubwa kwa siku moja,Kwa Mwezi pekee Ujerumani anatumia $ 17B kununua Gas ya Urusi.
MARK MY WORDS
Siku Urusi akiikatia Gas Ujeremani,Basi Uchumi wa Ulaya yote na Urusi utaporomoka kuliko unavyofikilia. Urusi itapoteza 60% ya Mapato kwenye GDP ,Uchumi wa Ujerumani Utasambaratika na Ulaya yote.
Ndio maaana nasema,Urusi atakata Gasi kote Ulaya lakini sio Ujerumani,MARK MY WORDS.
Kwa nini hiyo kampuni haikulipa je huko si kivunja mkataba ⁉️shida sio serikali inayotaka kujitoa bali shida ni ana mkataba na kampuni ya kipoland so mboyoyo za Putin na Poland zisiingilie mkabata wa kampuni ya gas ya kipoland wao sio sehemu ya serikali wala hawajapewa zuio na serikali kusambaza gas poland
Zile mali za Warusi ambao sio za Serikali zilizozuiliwa nazo ukihoji kijinga hivi hivi? Mavi yakoshida sio serikali inayotaka kujitoa bali shida ni ana mkataba na kampuni ya kipoland so mboyoyo za Putin na Poland zisiingilie mkabata wa kampuni ya gas ya kipoland wao sio sehemu ya serikali wala hawajapewa zuio na serikali kusambaza gas poland
US was not party to Russia-Europe Gas Deal.if the agreement requires payment to be made in USD then why US has frozen Russian USD reserves as one of the economic sanctions for Russia??
do you want them to give up their gas for free?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nmwanachama wa NATO Sasa hivi watapata tabu kidogo kwa upande wa gesi lakini badae hiyo gesi kutoka Urusi wataipata sawa na bule baada ya kumtoa Putin madarakani.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2203654Under the Russian payment scheme, energy importers have had to open two bank accounts with Gazprombank — a foreign currency account and a rubles account. The proceeds of sales are paid in foreign currency (dollars or euros) which is then converted by Gazprombank into the ruble account.
Several other countries are reportedly using the scheme. A European Commission document release last week advised that it “appears possible” to comply with the new Russian rules without getting into conflict with EU law.
Acha ujingaMbna wamekufa watu kidogo sana hawajafika hata laki [emoji35][emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
Nilipofika hiyo sentensi ya mwisho ya "kipindi cha kuganda kimeanza" ndiyo nikajua kumbe hata hujui majira ya Nchi hizo.Wenzio wanaelekea kwenye summer wewe unasema wataganda [emoji3]hata Kama yalikuwa ni ya magharibi ,yaliingiaje kufanya biashara urusi!?? walikuwa na mikataba na urusi!! Na walikuwa wanalipa Kodi,hivyo wembe unakata kotekote!! Putin Safi Sana,Katia gesi hao kenge!!! na kipindi Cha kuganda ndo kimeingia,watageuka barafu kenge hao!!
Mkuu,hapa kwenye swala la gesi utachoka tu kuwaelewesha,watu wenyewe ndiyo hawa bila aibu mtu anasema "kipindi cha baridi kali kimeanza,wataganda" unabaki unajiuliza kama huyu mtu hata kujua majira katika hizo Nchi hajui itakuwa hii complex issue ya gas.Waliokatiwa Gasi wananunua kiasi Kidogo Sana Cha Gasi ya URUSI na hawana athari Kiuchumi kwa URUSI. Mfano,Bulgaria inatumia $ 50M kwa Mwaka kununua Gasi kutoka Russia. Poland inatumia $ 190M kununua Gasi kutoka Urusi kwa Mwaka. Baba lao Ni Ujerumani. Ujerumani inatumia $ 420M kila siku kununua Gasi ya Urusi. Hiki Ni kiasi kikubwa kwa siku moja,Kwa Mwezi pekee Ujerumani anatumia $ 17B kununua Gas ya Urusi.
MARK MY WORDS
Siku Urusi akiikatia Gas Ujeremani,Basi Uchumi wa Ulaya yote na Urusi utaporomoka kuliko unavyofikilia. Urusi itapoteza 60% ya Mapato kwenye GDP ,Uchumi wa Ujerumani Utasambaratika na Ulaya yote.
Ndio maaana nasema,Urusi atakata Gasi kote Ulaya lakini sio Ujerumani,MARK MY WORDS.
Ailete kwetu huku tuna shida nayo[emoji28][emoji28][emoji28]Putin ni bogus, hakuna popote ambapo mkataba unaongelea hayo madafu yake for the terms of payment, tayari wamemwambia akaye na gesi yake kuna sources nyingi.
Kuanzia mwakani atatembeza hiyo gesi kama karanga.
Warussi wa kibantu wanasema Poland anaingia kipindi cha baridi,wataganda,hawajui hata majira ya Poland [emoji3][emoji3]Hawa warusi wa kibantu sijui wana akili za namna gani, wanadhani haya mataifa yamekurupuka kuweka sanctions kwa mrusi? Muda utaongea zaidi.
elewa urusi alikuwa hauz direct kwa serikali ya poland bali anafanya biashara na kampuni ya kipoland so kampuni ndo inaishitaki urusi kwa kuvunja mkataba