Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Uchawi umemrudia mchawi
Nalog off Z
Nalog off Z
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo turbines ni za kampuni ya Siemens ya Ujeruman na mkataba wa huduma ni lazima Siemens wafanye service, so muda wa service ulipofika ndio Russia anaivamia Ukraine na kuwekewa vikwazo ikiwemo hizo services na yeye akazima kabisa bomba la kuelekea ujeruman kwa 60% so wakalazimika kulegeza kikwazo na kufanya serviceHii Ni huzuni kwa Urusi.
Yaani Urusi Haina Taknolojia ya kuyarekebisha Hayo mabomba ya Turbine ya Gesi nchini mwake mpaka Yapelekwe Canada? Maelezo yanahitajika hapa.
Umeelewa Threads walivyosema au umeandika kimaabaMkuu itafika mahali lazima wakubaliane na dictator Putin ,maana gesi ya Russia ni cheap sana alafu ipo na viwango ,cha msing haya mambo wayamalize kidiplomasia maana tunaumia weng sana ,