Urusi inanifurahisha sana huwezi amini service ya turbines wanafanya EU 🤣🤣🤣

Hii Ni huzuni kwa Urusi.

Yaani Urusi Haina Taknolojia ya kuyarekebisha Hayo mabomba ya Turbine ya Gesi nchini mwake mpaka Yapelekwe Canada? Maelezo yanahitajika hapa.
Hizo turbines ni za kampuni ya Siemens ya Ujeruman na mkataba wa huduma ni lazima Siemens wafanye service, so muda wa service ulipofika ndio Russia anaivamia Ukraine na kuwekewa vikwazo ikiwemo hizo services na yeye akazima kabisa bomba la kuelekea ujeruman kwa 60% so wakalazimika kulegeza kikwazo na kufanya service

Nadhani umenielewa😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…