Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

Kwa sasa hakuna air defense system inayoweza zuia hypersonic missiles.

Kwa sasa hiyo ndio shida.
Urusi atakua na air defence system ya hpersonic missile,huezi develop hypesonic kwa mafanikio makubwa afu ushindwe kudevelop antinode yake.
Mataifa mengine kama ndo wanapambana wapate hypersonic sio rahisi kua na mfumo wakuyazuia.
Saiv ndo nimepata picha why marekani alisema haiwezi na hataki kuingia vitani direct na mrusi.
 
US ana OVER PRICE silaha zake ila hakuna kitu kwenye reality 😆😆😆
 
Acha ujinga, wanaopambana Ukraine dhidi ya Russia ni EU, USA, NATO na Ukraine wenyewe na bado hawajaweza kumdhibiti mrusi
Kwa ufinyu wa mawazo ulionao, unafikiri USA ni kama Russia? USA army wakitia mguu tu sehemu habari ingeshaisha mda mrefu mda tungekuwa tunapewa tu habari za misada wa kijamii kwa raia ok

USA ni another level bwashee, acha akili yako ifanye kazi braza, by the way tayari mmeprove failure na hamna lolote cha maana ndani ya vichwa vyenu ndo maana agizo la Chongolo linakuhusu bwashee
 
Russia sio mjinga ,apoteze siraha nzururi kwa kupambana na kajimbo Ukraine !! maana Ukraine ni Jimbo ndani ya Russia kwa enzi za kabla ya kuvunjika kwa usoviet ,nguvu inayotumika pale ni ndogo Sana ,kulingana na nguvu ya ukinzani kutoka Ukraine.Silaha alizonazo Russia za kisasa mno,angekuwa anapigana na China,au marekani,au German n.k hapo ndo mngeona sura halisi ya jeshi la urusi.
 
Wewe ni mjinga bwashee, sasa ndo unasema nini au ndo kuchanganyikiwa? Ukraine ni jimbo ndani ya Russia hahahahahaha!

Kichwa kipo empty bwashee, ujui hata unaongelea nini ndo uweze kuchambua masuala mazito ya kisiasa duniani?
 
Mchambuzi uchwara baada ya kuamka kutoka usingizini kwa shemeji yake, super power ni moja tu duniani anaye wavimbia majike bwashee, super power mkwara tu bila kutumia nguvu majike wote wananywea
Mpaka sasa mwenye hakili timamu hawezi kushindwa kuelewa super power wa ukweli ni nani?
1.Rusia amesimama imara dhidi ya siraha kibao za west ambazo west walijua zitafanya mabadiliko makubwa, waliamini technologist yao ni bora kuliko ya russia.Ila kinachoendelea KILA mtu anakiona.
2.Russia anapambana battle ya ujasusi na taasisi imara za kijasusi duniani.ikiwemo
.CIA, MI6, na zingine kibao za poland ufaransa n.k
NA hapa kwenye ujasusi tunazungumza ujasusi wa rasilimali watu, ujasusi wa tecnologia.mfano matumizi ya ndege,drone na mifumo mengine ya upelelezi ya kisasa bila kusahau sateliate both military sateliate na sateliate za kawaida zote zinamulika urusi.Bila kusahau ujasusi wa kiuchumi.
3.Vikao vya KILA aina vimefanyika dhidi ya russia mpaka saiv tukisikia kuna kikao kuhusu russia tulishazoea no new.
4.Amesimama imara dhidi ya vikwazo.

Sasa kama mpaka sasa hujajua superpower ni nani utakua na shida.
Mfano mdogo ukitaka ujue bala la russia juzi bideni alikua kyvi ila baada ya biden kurudi alisema mwenyewe kha kichwa kilimgonga sana mpaka akahisi hana ubongo.That means alikua kyvi ila roho ilikua juu juu,na alichokiona huenda hakutarajia kukiona, kama raisi anaejiita wa dunia lazima kichwa kiume.
 
Umesikika usielewa chochote na wala utaki kusema ukweli, why upidishe na wewe ni western media? Ebu nyosha maelezo Russia amesimama imara dhidi ya super power wa ukweli unajaribu kukiri hili asante bwashee.

Super power sio kila kitu utumie nguvu uchwara, unaweza simama mbali na ukaamrisha jike na jike akatii kile unacho kitaka bwashee.

Urusi alipoteza kwa super power, na bado anaendelea kupoteza tu na huo ndo ukweli ambao warusi like you hamtaki kusikia wala kukubali

Ukraine silaha wanazopewa ni vya kujilinda tu na havina nguvu like that za Russia bwashee, wanahitaji zana za uhakika ambazo West hawataki kumpatia vingi mno na ukweli hata nyie pro-russia mnalitambua.

Ukitaka tuchambue masuala haya mazito, ebu vua kwanza upande alafu then tuchambue kwa kutumia uwezo wetu wa elimu na kujua mambo
 
Russia alipotia mguu kwa Assadi, US akashindwa kutekeleza azima yake ya kumng'oa madarakani. Russia alipotia mkono wake Vietnam US walirejea nyumbani mikono mitupu. Russia alitia kichwa pale bay of pigs US walichakazwa.

Leo Russia yuko ndani ya Ukraine, eti US na shoga zake wa NATO wanasema we don't like direct confrontation with Russia, but we pledge unleashing support to Ukraine. Vikwazo, silaha, training plus mamluki wanaowatuma huko Ukraine hawataumudu huu mbuyu-Russia.
 
Sindano uliyompa Ni ya uhakika atakuwa amekuelewa kimoyomoyo, lakini tu huku nje atazidi kujitutumua kwa kukaza fuvu.
 
Matatizo ya kukaririshwa vijiweni 🤣🤣Toa mfono mmoja tu wa mahali USA alitia mguu na vita ikaisha mara moja
 
Russia wako vizuri sana,hebu fikiria pamoja na kuwekewa vikwazo kibao lakini bado wanapambana.
Hapo Ukraine, Russia anapambana na mataifa mengi (NATO) Ukraine ni picha tu.
Rais wa Ukraine alipaswa akae chini atulize akili yake ili alikomboe Taifa lake.Maana kwa sasa wamegeuzwa uwanja wa majaribio ya Silaha wakati watu wake wanakufa na mali kuharibiwa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…