Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system!!

Russian forces have delivered a massive missile strike on Ukraine’s military infrastructure as retaliation for Kiev's terrorist attack on Bryansk border region earlier this month, the Ministry of Defense stated on Thursday. It added that all assigned targets had been hit.

In a statement, the ministry outlined that the attack involved “high-precision long-range air, sea, and land-based weapons, including the Kinzhal hypersonic missile system.” The latter has a range of more than 2,000 km.

“The massive retaliation strike” hit key elements of Ukraine's military infrastructure, defense industry complexes as well as energy facilities that contribute to their operations. “The mission has been accomplished. All assigned targets have been hit," the statement read.

Wenyewe makamanda wa Ukraine wamekiri kuwa hawana uwezo wa kuyazuia makombora haya ya urusi (pamoja na kuwa na Patriot air defense ya marekani).

Russia's overnight strikes constitute "an attack like I don't remember seeing before," said a spokesman for the Ukrainian air force on Thursday.

As you can see, the attack is really large-scale and for the first time using such different types of missiles," said Yurii Ihnat, spokesman for the Air Force Command of Ukraine, on Ukrainian television.

"We see that this time as many as six Kinzhal were used. This is an attack like I don't remember seeing before," he added.

"Different types of aircraft were used, strategic, long-range, Mig21. There were 81 missile launches," said Ihnat.

"There were X-22 (missiles), which we can't shoot down, we can't shoot down the Kinzhal either, it's six plus six and 13 S-300 (that haven't been shot down by Ukrainian Air Defense Forces)," he said.

"So far, we have no capabilities to counter these weapons," added Ihnat.


MK 254 umemsikia msemaji wa jeshi la anga la ukraine anavyosema?? ""so far we have no capability to counter these weapons". Likirushwa hakuna jinsi ni kusubiri tu lifanye vitu vyake!!
Hakuna air defence system ya kuzuia hypersonic missiles nchi yoyote. Na bado Russia haina missiles nyingi, na hizo missiles hazina payload kubwa kwamba zinafanya uharibifu kuliko missiles nyinginezo, hizi hypersonic ziko undefeated ila ni gharama kubwa.

Badala ya kutumia hypersonic missiles Russia ingefanya SEAD mission ikawa inapitisha ndege na kudondosha mabomu kirahisi. Na kutumia makombora yasiyo ya gharama, badala yake ndege zinaangushwa na makombora baadhi yanadondoshwa. Wanalazimika kudunduliza hypersonic missiles kujitutumua.

S-300 nyingine hii Ukraine waliharibu
20230121_173055.jpg
20230121_173057.jpg
 
Unajua mlizoea kupiga Iraq nchi dhaifu na isiyo na msaada wowote kwa umoja wa NATO Kwa mwezi mmoja.

Yugoslavia NATO walipigana mambomu kwa almost mwezi.

Libya USA na ufarasnsa mwezi.

Sasa mmeunganisha nguvu zeniu zote,mnachangishana silaha Hadi mnaishiwa,mmeweka vikwazo vyote kabisa hapa Duniani,halafu mnaanza kuhesabu siku.

Sasa hebu tuangalie USA na NATO wake wote na wapambe wengine walitumia mda Gani kupigana na vikundi TU,wala sio nchi.vikundi. Vya Al qaida na talaban huko afghanisatani.

Sasa linganisha Ukraine inayopewa misaada yote kutoka sio nchi zote za NATO pekee,Bali na nchi zote za west.

Halafu linganisha hizohizo nchi zote za west zinapigana na vikundi vya Al qaida na talaban kwa miaka 20.
Ukiweza kutulia na kufanya ulonganifu huu ndio utajua nani mwamba kati ya NATO na Urusi.
Hii ni kwa faida Yako na wengine wenye mawazo ya kuhesabu muda wa hii SMO.
CC: m-Yukrein wa Kajiado MK254 ,
m-Yukrein wa Namanyele kp kipanya44
 
Hivi HIMARS zimeishia wapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 , vile vidrone vya Uturuki siku hizi havitengenezwi tena? Abraham na Leopard zitafika lini, Armored vehicles kutoka NATOA hasa AUSTRALIA NA CANADA mmezisikia tena?
Ukitaka kujua kazi yake muulizie former deputy Prime Minister na mkuu wa ROSCOSMOS, Dmitry Rogozin alikolazwa atakwambia nini maana ya HIMARS
qwVEL9SS48L31a6BtTv7ISHvKeGCO9sk.jpeg
 
Teh teh teh 😂😂 yaani hasara zote alizopata mpaka sasa unaita ' store clearance'....?
Ukihesabu hasara kwa Urusi compare na hasara kwa upande wa pili.
-Urusi kapata hasara kiasi Gani.
-Ukraine kapata hasara kiasi Gani.
-nato wamepata hasara kiasi Gani.
- ambao sio NATO wamepata hasara kiasi Gani..

Urusi = Ukraine+NATO + non NATO.

Maana Urusi hakua anapiga makombora hewani,wala risasi ,wala mabomu.alikua anapiga vitu na silaha za maadui zake.
Askari wake wamepiga na wao kupigwa.
Sasa tuuangalie na upande wa maadui zake Hali ikoje?
Wamepata hasara kiasi Gani.
Maana tumesikia na kosoma wote Mimi na wewe kua memba wa NATO walilalamika kua wameishiwa akiba ya silaha kwenye maghala Yao.

Tumsifu yesu kristu.
 
Kweli hawa jamaa wanatuchanganya na hii vita yao ni kama vile kuna mambo ya kutoa masiraha yao yaliyokaa store muda mrefu yatumike.

But kama mtu ana masiraha mazito hivyo how asimalize mchezo kwa kuda mfupi ili maisha yaendelee?.
Hivi unafikiri kikifanyika kilichofanyika Hiroshima na Nagasaki utakua utu kweli huo?
Do you think about the inocents?
 
Nliwambia na ninarudia tena urusi hajadeploy askari na siraha zake, anachofanya ilikuwa store clearannce tu. Amechukua kidogo tu juzi marekani hana drone tank juzi walikuwa wanapiga tank moja ila ya nyuma inapita, wamepiga mpaka silaha zikaisha jamaa wakapita
Silaha=✓
Siraha=x
 
Ujui kiingereza bwashee, unachokisema wewe hakipo, unafikiri wewe pekee yako ndo unashabikia Urusi humu jamvini?

Mtu mwenyewe sijui uliishia la saba alafu unaanza kutuletea ujinga wako, wamesema hawana zana wa kuweza kudungua x-22, kinzhal bt ukweli Ukraine level yake ilikuwa bado kupambana kijeshi na Russia ila wameonyesha ujasiri wa hali ya juu na uthubutu.

If wakija kupata zana za uhakika Russia wapata wakati mgumu sana tena sana, kumbuka ni msaada unapewa kimoja au viwili havikidhi mahitaji yake, na hiyo Patriot unayoshupalia shingo hapa bado haijawafikia, na wewe uko kama Western media mnayolia lia hapa et wanapiga propaganda wakati wewe ndie umewazidi hata hao western media kwa propaganda zako uchwara humu.

Mwaka umekata vijana wa super power, mnashangilia kurusha makombora kwa mbali ukiwa Moscow unaogopa nini peleka pua Kyiv basi, ili tuamini kweli wewe ni super power.
Hizo zana za uhakika wanazipata wapi na siku gani,,!?
wakati bwana put in,, anazidi kujipakulia minyama,, soon ukrein inakuwa bidhaa ya Russia,,
 
Ujui kiingereza bwashee, unachokisema wewe hakipo, unafikiri wewe pekee yako ndo unashabikia Urusi humu jamvini?

Mtu mwenyewe sijui uliishia la saba alafu unaanza kutuletea ujinga wako, wamesema hawana zana wa kuweza kudungua x-22, kinzhal bt ukweli Ukraine level yake ilikuwa bado kupambana kijeshi na Russia ila wameonyesha ujasiri wa hali ya juu na uthubutu.

If wakija kupata zana za uhakika Russia wapata wakati mgumu sana tena sana, kumbuka ni msaada unapewa kimoja au viwili havikidhi mahitaji yake, na hiyo Patriot unayoshupalia shingo hapa bado haijawafikia, na wewe uko kama Western media mnayolia lia hapa et wanapiga propaganda wakati wewe ndie umewazidi hata hao western media kwa propaganda zako uchwara humu.

Mwaka umekata vijana wa super power, mnashangilia kurusha makombora kwa mbali ukiwa Moscow unaogopa nini peleka pua Kyiv basi, ili tuamini kweli wewe ni super power.
Yeye hajui kiingereza wewe hujui kishwahili, unakosea sana Tuliza munkari.Vita iendelee mashabiki wenzangu.
 
Kwa ufinyu wa mawazo ulionao, unafikiri USA ni kama Russia? USA army wakitia mguu tu sehemu habari ingeshaisha mda mrefu mda tungekuwa tunapewa tu habari za misada wa kijamii kwa raia ok

USA ni another level bwashee, acha akili yako ifanye kazi braza, by the way tayari mmeprove failure na hamna lolote cha maana ndani ya vichwa vyenu ndo maana agizo la Chongolo linakuhusu bwashee
Labda kongo, somalia tu walikula fito za makalio na wakakimbia.HALAFU SI WATIE TIMU MBONA HAWAENDI.
 
Back
Top Bottom