kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la Saudia na IRAN kupatana linakwenda kubadilisha mambo mengi sn DUNIA na watu hasa WATANZANIA wengi hawafahamu hizi Nchi MBILI hasa SAUDIA zina umuhimu gani KIUCHUMI Dunian na INFLUENCE walizo nazo zinaweza kuturn na Mambo Ups n Down mambo mengi sn hili swala Lao kupatana limekuja kama Surprise sasa hivi CIA wana calculate athari zinakuja mbeleni hasa KTK Economy ya US.Balance of power....inaanza kuchipua
Sema unayo taka kusemal lakini sio unafikia hatua ya kutukana watu - soma historia za kweli badala ya kuwa addicted na make believe movies za Hollywood kuhusu vita - hivi unajua vizuri kilicho wapata wanajeshi wa US na majenerali wao waliopo jitia kuvamia VietCong - walipigwa kipigo kitakatifu mpaka Majenerali wao wakakimbia miguu peku puke.Kwa ufinyu wa mawazo ulionao, unafikiri USA ni kama Russia? USA army wakitia mguu tu sehemu habari ingeshaisha mda mrefu mda tungekuwa tunapewa tu habari za misada wa kijamii kwa raia ok
USA ni another level bwashee, acha akili yako ifanye kazi braza, by the way tayari mmeprove failure na hamna lolote cha maana ndani ya vichwa vyenu ndo maana agizo la Chongolo linakuhusu bwashee
Vladimir,Putin 🔥🔥🤸♂️
Alikujibu nifowadie.Hivi HIMARS zimeishia wapi? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 , vile vidrone vya Uturuki siku hizi havitengenezwi tena? Abraham na Leopard zitafika lini, Armored vehicles kutoka NATOA hasa AUSTRALIA NA CANADA mmezisikia tena?
Unaizungumzia USA hii hii ama nyingine.Kwa ufinyu wa mawazo ulionao, unafikiri USA ni kama Russia? USA army wakitia mguu tu sehemu habari ingeshaisha mda mrefu mda tungekuwa tunapewa tu habari za misada wa kijamii kwa raia ok
USA ni another level bwashee, acha akili yako ifanye kazi braza, by the way tayari mmeprove failure na hamna lolote cha maana ndani ya vichwa vyenu ndo maana agizo la Chongolo linakuhusu bwashee
Wenzako tumepita tuu maana hajui Historia ya DuniaUnaizungumzia USA hii hii ama nyingine.
USA alitia mguu somalia,walichofanyiwa huko kilipelekea wananchi wa Marekani kuandamana huko kwao na kumtaka Bill Clinton aondoe jeshi somalia.
USA alishirikiana na UK na FR na Isarael na waasi wa Syria walitaka kumtoa Assad,Urusi alipoingia USA na washirika wake walihama kijiwe.
USA alitaka kumtoa Nikolas Maduro wa Venezuela,Urusi walipeleka TU 160 na zana kadhaa ndani yake,Nikolas Maduro Yuko madarakani Hadi sa hizi.
USA na washirika wake wote hapa duniani walio NATO na wasio NATO walipeleka Kila aina ya silaha walizonazo ili kuwashinda Watalaban na Al qaida,walipigana miaka 20 na vikundi visivyo na jeshi la anga,Majini na jeshi la nchi kavu linalostahili,mwisho wa siku wakapiga mother of all bomb,lkn miezi minne baadae wakawashindwa Watalaban na kukimbia Afghanistan.
Wakati huo watalaban hawasaidiwi na nchi yoyote hapa duniani,Marekani ikiwa na NATO na wasio NATO.
Ukrine.
Marekani wameshatoa mguu siku nyingi sana toka kabla ya 2014,wao ndio wamelofundisha jeshi la Ukraine,wamewajengea miundombinu ya kijeshi,hadibsasa wanatia packages za silaha Kila siku,vikwazo na misaada ya fedha dhidi ya Urusi,wameshindwa kuidhibiti Urusi.
Sasa sijui ulikua unaizungumzia USA IPi?
Labda kama zipo mbili.
Maana hata Iraq,USA hakuenda peke yake,Iraq ilikua ni nchi dhaifu TU level yake ni Iran na Syria.
Marekani IPi?
Unayiona wewe kua ikitia mguu mambo yanaisha,
Ambayo ni level nyingine?
Hahahahah raha ukiwa na silaha ambayo adui hana tena ambayo iko so effective kama hypersonic unamnyanyasa sana. 😀😀😀Tatizo hadi sasa Marekani na NATO kwa ujumla hawana hypersonic missile, kwa hiyo Mrusi anatamba hakuna wa kumtisha!! Mchina ndiyo taifa lililofuatia kwa urusi kuwa na hypersonic missiles lakini bado hajaziweka kazini (not yet deployed). Kwa sasa duniani ni Urusi iliyo na hypersonic missille zikiwa kazini!!
We kwa akili yako unahisi Mrusi hawezi kuingia KYIV akaikalia kabisa kijeshi? 🤣Ujui kiingereza bwashee, unachokisema wewe hakipo, unafikiri wewe pekee yako ndo unashabikia Urusi humu jamvini?
Mtu mwenyewe sijui uliishia la saba alafu unaanza kutuletea ujinga wako, wamesema hawana zana wa kuweza kudungua x-22, kinzhal bt ukweli Ukraine level yake ilikuwa bado kupambana kijeshi na Russia ila wameonyesha ujasiri wa hali ya juu na uthubutu.
If wakija kupata zana za uhakika Russia wapata wakati mgumu sana tena sana, kumbuka ni msaada unapewa kimoja au viwili havikidhi mahitaji yake, na hiyo Patriot unayoshupalia shingo hapa bado haijawafikia, na wewe uko kama Western media mnayolia lia hapa et wanapiga propaganda wakati wewe ndie umewazidi hata hao western media kwa propaganda zako uchwara humu.
Mwaka umekata vijana wa super power, mnashangilia kurusha makombora kwa mbali ukiwa Moscow unaogopa nini peleka pua Kyiv basi, ili tuamini kweli wewe ni super power.
Hahahah USA habari ingine kwa nchi maskini zinazojengewa vyoo na mfuko wa PEPFAR 🤣🤣🤣 na bado wanalazimisha mlane viboga ili misaada iendelee ila hilo kwa Urusi haliwezekani.Kwa ufinyu wa mawazo ulionao, unafikiri USA ni kama Russia? USA army wakitia mguu tu sehemu habari ingeshaisha mda mrefu mda tungekuwa tunapewa tu habari za misada wa kijamii kwa raia ok
USA ni another level bwashee, acha akili yako ifanye kazi braza, by the way tayari mmeprove failure na hamna lolote cha maana ndani ya vichwa vyenu ndo maana agizo la Chongolo linakuhusu bwashee
Hizo ndio hoja zenu mfu wakati viongozi wenu wa urusi hujiposti wakati wako uchi.View attachment 2546395Alisikika mtetezi mmoja wa upinde wa mvua aking'aka
Operesheni itaendelea hadi malengo yafikiwe hata kama ni mwisho wa dunia.Alipanga nani huo muda, Putin alituambia operesheni maalumu na tunaona operesheni inaendelea.VIPI JAMA MBONA SIO WAVUMILIVU JAMANI.
Hivyo hivyo mkuuOperesheni itaendelea hadi malengo yafikiwe hata kama ni mwisho wa dunia.
Russia sio mfupa mgumu mbele ya wenye dunia yao bwashee, wangekuwa makini wasingevurugwa na USAHahahah USA habari ingine kwa nchi maskini zinazojengewa vyoo na mfuko wa PEPFAR 🤣🤣🤣 na bado wanalazimisha mlane viboga ili misaada iendelee ila hilo kwa Urusi haliwezekani.
Hahahahahah labda kama China sio namba 2 kwa uchumi duniani.Russia sio mfupa mgumu mbele ya wenye dunia yao bwashee, wangekuwa makini wasingevurugwa na USA
Umoja wa Soviet uko wapi, nchi zilizo unda Soviet Union sasa ni maadui wa Russia, na wala hawamsikilizi kwa chochote, bado uamini USA ulivo mlima mgumu mbele ya Russia?
Na kwa mpango unavyo sukwa ni kulichochea uasi ndani ya Russia, then Russia Federation utaenda kuparaganyika vipande vipande tena, USA akili kubwa bwashee, nyie endeleeni kuota ndoto zenu za asubuhi
Wewe unashida may be sehemu bwashee, kwani uwepo wa China nambari mbili kiuchumi duniani inamsaidiaje mrusi kumpiku USA kwenye ukubwa na kutawala dunia?Hahahahahah labda kama China sio namba 2 kwa uchumi duniani.
Mara masaa 3, Mara siku 3, Mara wiki 3, Mara miezi 3, Mara miaka 3, Mara miongo 3
Tuelewe kipi? Mnachosha mashabiki wa vita
Sawa mi siongei sana, we endelea kuhisi huyo USA ni Mungu utafurahia show.Wewe unashida may be sehemu bwashee, kwani uwepo wa China nambari mbili kiuchumi duniani inamsaidiaje mrusi kumpiku USA kwenye ukubwa na kutawala dunia?
Mchina naye tamaa yake ni kufikia alipo USA, wakati huo USA anajua kila kitu naye awezi kaa et mchina amfikie, kumfikia USA alipo inahitaji akili itumike zaidi bwashee
Ukitumia knowledge ulonayo, utakuwa mchambuzi mzuri tatizo umeegemea upande, USA ni mjanja mjanja na anatumia mbinu kali kuwatoa washindani kwenye reli, mrusi anatakiwa ashtuke braza