Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

Hayo Mabomu hayafiki IKULU ya UKRAINE?!
Mie ningekuw CDF wao aah naagizia HYPERSONIC manne yaende IKULU, KAMBI ya JESHI muhimu, na mwili yashareheshe mitaa mbali mbali
 
we jamaa unaumia sana, basi kita ni mshabiki wa simba!
 
Wayukrain wanatumika tena zaidi na Marekani,ulaya ni fuata upepo tu🤔
 
Kuipambanisha US na mataifa ya Asia kiuchumi, tec n.k ni ujuha, mchina yupo pale kwa uwekezaji wa US na washirika wake. Sayansi ya mchina ni copy n paste ya magharibi.

US na washirika wake ni dunia nyingine ile.
 
Ndiyo ulivyodanganywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…