You may be right kwenye moja la kumaliza vita, lakini mengine nahakika upp wrong.
Moja kuhusu Bakhmurt, jeshi la Ukraine limezidiwa sana na pande zote zimepoteza wanajeshi lakini Ukraine at greater loss takwimu zipo wazi soma US leak reports,
NATO imepeleka zaidi ya 1800 military Elites Bakhmurt wengi wamekufa na wengine wamekimbia huko kwa sababu ya namna wanavyopigwa.
Urusi hakuwahi kutaka regime change wala kuchukua eneo la Ukraine bali analisukuma jeshi la Ukrain mbali na mipaka yake ili wasiweze kufanya mashambukizi ndani ya Urusi.
Kila kukicha maeneo ya Ukraine yanachukuliwa. All ppssible area Ukrain anasema atafanya counter attack yako sealed na jeshi la Urusi. Na Ukraine jeshi lake lote ambalo ni experinced haliwezi kugawanyika wakisema waanzishe sehemu ingine na kuachia Bakhmurt imekula kwao. Hivyo counter attack inakuwa ngumu maana jinsi ya kugawa jeshi, so tutasikia tu. Hii poa inampa mrusi muda wa kupumzika na kuwaandaa vijana wengine.