Urusi kazima ihisi athari za vita- Zelensky

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine.

"Urusi ilileta vita katika ardhi yetu na inapaswa kuhisi kile ilichokifanya", Bw Zelensky alisema katika hotuba yake ya Alhamisi jioni, bila kuyazungumzia moja kwa moja mashambulizi ya Ukraine.

"Waukreni wanajua jinsi ya kufikia malengo yao. Na hatukuchagua kufikia malengo yetu katika vita," aliongeza.

Urusi inasema takriban wanajeshi 1,000 wa Ukraine, wakisaidiwa na vifaru na magari ya kivita, waliingia katika eneo lake Jumanne asubuhi - katika kile kinachoonekana kuwa moja ya mashambulio makubwa zaidi katika ardhi ya Urusi tangu vita kuanza.

Rais wa Urusi Vladimir Putin hapo awali aliishutumu Ukraine kwa "chokozi kubwa".

Maafisa wa Ukraine wamekuwa kimya kwa kiasi kikubwa kuhusu mashambulizi hayo. Ni vigumu kuelewa hali halisi katika uwanja wa vita na ni maelezomachache yametolewa kutoka kila upande
 
Hao ni magaidi tu km wa west get nairobi
 
Yani kadri Ukraine anavyozidi kujifanya mbishi ndivyo anavyozidi kuiangamiza nchi.
Kwasababu Russia humjibu mara dufu Ukraine.
 
Mkong'oto anaotembezewa urusi kwa Sasa si wa karne hii!
Mwana kulitafuta mwana kulipata. Wajerumani hapo Kursk walikufa zaidi ya million 5, leo Ukraine wanakufa kama nzige. Putin wiped out 3,400+ Ukraine and NATO soldiers.
 
Attachments

  • Screenshot_20240819-131754.png
    Screenshot_20240819-131754.png
    742.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom