Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

Mkuu sio propaganda ,kwani na ww unakubaliana na mtoa mada ya kwamba Erdogan amempiga bao Putin?
Alafu mkuu bwama utamu yuko wapi siku hizi aise? ametoweka kabisa jukwaani.
...Mkuu sikumaanisha nyie ndio mmejikita kwenye propaganda ila kundi fulani jamaa aliwataja kama warusi, wamarekani na wairani wa Buza hao ndio niliowalenga.

Bwana Utamu kapotea sana jukwaani huenda alikuwa kwenye timu kampeni ya Biben...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ina maana mkuu Uturuki ikiwa nje ya NATO haina nguvu yoyote, japo inamiliki jeshi la pili kwa ukubwa ndani ya hiyo jumuiya?
 
Kutokana na mwenendo aliounyesha Russia, ni wazi Armenia atafute njia ya kupunguza ukubwa wa kambi ya mrusi iliyopo Armenia huku akimkaribisha USA.
Mwenzake aliwahi kuomba msamaha mapema baada ya kuona anataka kuikosa ikulu.sasa wao wasije wakachelewa wakakuta mlango wa Kremlin umefungwa wakakosa sehemu ya kuombea msamaha kwa bwana mkubwa Putin.....

Na uzuri wanamjua PUTIN achelewi kubadili ramani ya Dunia akasema Dar na morogoro zimepiga kura ya kujiunga na URUSI
 
Uturuki Hana uwezo wowote ule amemkimbia ugiriki kule alitaka achapwe. Pia amemkimbia Libya kule walitaka wamchangie wamchape akakimbia.
 
Reading between the lines unaoneka wazi wazi una bifu na Urusi na utawala wake, jambo LA pili naona unaigizi udini kwa mbali - ndio maana unajaribu kuikweza Uturuki kijeshi wakati deep down unajuwa Uturuki si lolote si chochote mbele ya Urusi military wise - Uturuki inajuwa kwamba Ku pick up a duel na Urusi is tantamount to committing HARAKIRI - Turkey won't dare to try Putin's patience.

Tukija kwenye afya ya Putin hizo ni propaganda za Waingereza - Putin hana mgogoro wowote wa kiafya - uvumi huu unaenezwa na taasisi ya kijasusi ya Uingereza (MI6) for Geopolitical reasons ndio walivyo, bado wanajiona kama vile ni mini super power - ndio walivyo ni wafitini na wazushi, kumbuka walivyo kuwa wanaipiga vita URUSI ili hisi host World Cup.
 
Fact!!!
 
Erdogan anataka kuirudisha Ottoman empire
Anataka kutawala waislam wote na kuiangusha Saudi Arabia

all Hail Kalifa Erdogan
Haitakaa itokee hio new ottoman, kwanza nguvu ya uturuki ndogo Sana kiuchumi, kijeshi vipi atawale wa arabu ambao wamemzidi uchumi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti mikomunist
 
Biashara anayofanya Azerbaijan na Urusi ni kubwa mara mbili ya ile anayofanya na Armenia....
Pili: Urusi wala atambui Nagorno ni sehemu ya Armenia .....
Tatu: Armenia walishaanza kutoka kwenye ushawishi wa Warusi wakawa wanatengeneza urafiki na nchi za magharibi, ndo maana kwenye shida mrusi nae ikabidi ampotezee kama vile hamuoni...

Libya gani iyo unayosema kuwa hali ya Haftar ni mbaya wakati nusu na robo ya nchi ipo kwenye mikono yake.na nusu na robo ya visima vya mafuta vipo chini yake vikilindwa na russia private military.Urusi anataka kujenga base ya kudumu pale Libya japo ana base kwenye mkoa wa Sitre na Al jufra.
 
Ina maana mkuu Uturuki ikiwa nje ya NATO haina nguvu yoyote, japo inamiliki jeshi la pili kwa ukubwa ndani ya hiyo jumuiya?
Jeshi la pili kwa Ukubwa???
Unaelewa nini hapo[emoji115]
 
Nahisi utakua na msongo wa mawazo uliosababishwa na kitu fulan hivi
 
Haitakaa itokee hio new ottoman, kwanza nguvu ya uturuki ndogo Sana kiuchumi, kijeshi vipi atawale wa arabu ambao wamemzidi uchumi.
Saivi ISIS wameshamgeuka Saidi Arabia na wameplan kuattack vyanzo vyake vya uchumi(ukifuga nyoka lazima Akule)

Turkey wanafanya kumuonesha kuwa Saudi saivi ni muovu Ameshakuwa mshirika wa Israil na puppet wa marekani na waislam wakiona ivo hata Iran lazima atakuwa upande wake
 
Haitakaa itokee hio new ottoman, kwanza nguvu ya uturuki ndogo Sana kiuchumi, kijeshi vipi atawale wa arabu ambao wamemzidi uchumi.
Mkuu hakuna taifa lolote la kiarabu lenye uchumi imara kuizidi Uturuki.
 
Daah huyu mshikaji nimemis nondo zake aise.
 
Nimefuatilia mjadala huu, inaonekana wewe jamaa ni mweupe sana kwa mambo ya hilo eneo.
 
Lord denning

Nagorno-Karabakh ni eneo halali la Azerbaijan kuanguka kwa Soviet Union kukaibuka harakati za watu wa eneo la Nagorno-Karabakh kujitenga na kuwa huru, kitu ambacho Azerbaijan haijawahi kukubali.

Nagorno-Karabakh ni eneo lenye watu wengi wenye asili ya Armenia lakini ardhi wanayoshi sio ya Armenia.

Armenia anamkataba wa kiulinzi na Urusi, asikudanganye mtu katika dunia hii kwamba Uturuki anaweza mtikisa Urusi kwa namna yeyote ile. Urusi kacheza karata yake kwa akili sana, na hii ilifanyika baada ya mazungumzo hakuna fujo/vita katika eneo hilo tata. Kwasababu kwa kuruhusu vita inamaana Urusi anaenda kupigana na Uturuki taifa ambalo kwa sasa kuna neema ya kimkakati kati yao kuanzia Siria,Black sea,Gas pipelines etc.

Kwa kifupi, naujue kuanzia leo Uturuki na Marekani haziivi. Urusi na Marekani haziivi.China na Marekani haziivi, Tanzania na China ni sherehe. Therefore Urusi=China=Tanzania=Uturuki(Wanaojenga standard gauge railway), hence proved.
 
Taarifa za ndani zinasema Urusi hana hiyo nguvu anayojitangaza anayo.

Mkuu, pole sana, pole sana. Mungu akupe siku nyingi za kuishi hapa duniani ili uone the future japo kidogo.


Kuna uwezekano kwa uimara wa NATO, Magharibi wakaruhusu Uturuki iwe among super powers ili kudhibiti na kuimaliza kabisa Urusi

Mkuu, kwa hili la Uturuki kuwa super power kwasababu ya uimara wa NATO sahau kabisa. Ila kama ni kuwa super power kwa juhudi zao(Waturuki) na kushirikiana na mataifa tofauti na NATO members unaweza kunishawishi.
 
View attachment 1625973
Hizi ngoma US wanazo 11 duniani kote....

Hakuna ZWAZWA yeyote mwenye nazo bora na IDADI hiyo shubaaamit.....

Putin ATASUBIRI SANA....

Long live US....
Long live Biden....
Long live MAGUFULI...

Maendeleo hayana vyama!!
Mkuu hizo aircraft carriers kwa sasa sio big deal kiivo, ni upungufu wa akili kupeleka hizo aircraft carriers kwenye uwanja wa vita hasa unapopambana na Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…