mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Naona wazee wa vita bado mnatunishiana misuli😂😂😂
Mkuu kweli wewe ni mkomunisti....
Twende hivi....
Ninasemaje MWANAJESHI huyo atakuwa ni mkomunisti ama amepigana vita kule AFGHANISTAN...
M-16 Ni bora kuliko AK 47 KALASHNIKOV....
1.M-16 ni nyepesi MNOOO kuliko hiyo KALASHNIKOV.....
2.M-16 ina uwezo wa kufyatua risasi mbali zaidi ya mita 400(Viwanja 4 vya mpira wa Miguu) zaidi ya hilo "dubwasha la kirusi" ambalo HALIPENYI zaidi ya VIWANJA VIWILI VYA MPIRA....
Dubwasha zito Kama nini...dubwasha LINAUMIZA BEGA mnoooo 😂😂😂😂