Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

Naona wazee wa vita bado mnatunishiana misuli
 
Urusi ina mizozo mingi sana na majirani zake.
 
Naona wazee wa vita bado mnatunishiana misuli
Baba sifa za AK 47 we ziache tu. AK 47 Ni kipenzi Cha mataifa mbalimbali ya Afrika na Asia kupata Uhuru wao.. hiyo yte ilitokana na urahisi wake wa kuitumia hata Kama hajawahi kuishika kabla
 
Kwa taarifa yako Russia ina maslahi kwa nchi zote mbili Armenian na Azebaijan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…